Tanganyika inateketea

Tanganyika inateketea

Siyo inateketea ishaisha, yamebaki Majivu.

Eti huyu naye ni ofisa wa serikali

Screenshot_2025-03-02-19-29-07-1.png
 
Kisheria haruhusiwi kugombea kwa kuanza kampeni mapema kabla ya kutangazwa rasmi na tume yake ya uchaguzi. Ila nani anaweza kumshtaki mshtakiwa anayekuwa hakimu katika shauri husika??!! Na katiba yetu inasema rais hawezi kushtakiwa kwa kosa lolote analofanya akiwa madarakani - inamlinda mkosaji!
 
Watu wako kalamuni, kazi yao ni kula kula Tu bila kujali wapi tunazarisha.

Walaji ni wengi kuliko wazarishaji.

Baba Askofu utaumiza kichwa sana, hakuna jambo litafanikiwa chini ya utawala wa CCM bali ni blah blah Tu na sherehe kila kukicha.
 
Unaongea vitu vikubwa sana Baba Askofu, competency ya hawa watu iko chini sana wanawaza kutumia tu na kuiba ili kujenga familia zao na kushinda uchaguzi.
 
 
Siasa ni biashara kubwa Kwa Africa watu tayari wamepata mgodi wanachofanya ni kuuchimba kisawa kisawa pasipokufikiria wakati ujao wa wajukuu zao je hawatokuta mashino matupu ?

C - chukua
C- chako
M- Mapema.

FB_IMG_17409400457116945.jpg
 
Back
Top Bottom