Tanganyika inateketea

Waswahili pia wamenena kuwa wazimu ncha 7. Hivi kuna watu wanazo hata kdg!?
Naamini kuna mpk pichu za Mama watu wanavaa bado kutuonesha hadharani tu
Naamini kuna mpk pichu za Mama watu wanavaa bado kutuonesha hadharani tu🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
Huyo Askofu anasema kweli kabisa. Yaani hii nchi ukianzisha ka mradi tu, magari ya serikali yatapishana hapo aisee. Mara fire, mara halmashauri, tra, tbs, nemc, osha, watu wa mizani...etc halafu kima mmoja anakuja kwa vitisho. Serikali imepandikiza ideology za hovyo sana kwa watumishi wake.
 

Huyu mkoloni wa Kizanzibari mbona kaanza kampeni mapema kiasi hiki? Hizi rushwa ni pesa zake za mfukoni au anachota tu hazina?
Watanganyika mmezidi uzoba ndiyo maana mnatawaliwa na mtu kutoka nchi ya Zanzibar(kama si nchi je ni mkoa au Wilaya?). Yaani Zanzibar in rais wawili mmoja anatawala Zanzibar na mwingine anatawala Zanzibar+ Tanganyika?
Hili la kampeni kuanza kabla ya muda wake nalo ni ubabe wa aina yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…