Tanganyika ingekua Jangwani kama Dubai sijui kungefananaje?

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?

2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.

NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea mishkaki toka China?
 
Hii nchi inawatu wapumbavu sana na Iq ndogo mno ,yaani chama cha vibakà CCM na hawa mataahira wanaojiita viongozi ndio reflection ya tabia za raia wa nchi hii zilivyo
 
Nahisi tungekuwa vizuri tu, kwa miaka yote hyo lazima tungekuwa na aina ya ku adapt na mazingira, watu huwa wanalazimishwa na nature kufikiria njia ya kusurvive
 
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?

2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.

NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea mishkaki toka China?
Kwa umri wa babaako aliishawahi KUKAMILISHA mahitaji yooooooote ya familia yake? Kama ndio mbona wewe mtoto wake na ukubwa wako unalialia maisha magumu? PUMBAVU!!
 
Sasa ukiwasikia wenye nchi CCM wanavyojitapa kuhusu kuibadilisha Tanzania...

1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?

2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.

NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea mishkaki toka China?
 
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?

2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.

NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea mishkaki toka China?
Kwa upande mmoja, mazingira magumu ni chachu ya creativity na innovation. Kwa upande mwingine, mazingira rahisi huzaa complacency!
 
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?

2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.

NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea mishkaki toka China?

Wahadzabe wasingepatikana.
 
K
Hii nchi inawatu wapumbavu sana na Iq ndogo mno ,yaani chama cha vibakà CCM na hawa mataahira wanaojiita viongozi ndio reflection ya tabia za raia wa nchi hii zilivyo
abisa uko sahihi mkuu,tabia za viongozi ndiyo reflection halisi ya watanzania
 
Nimewaza maisha baada ya Lissu kunyongwa nani ataleta amsha amsha huku wengi wetu makondoo?
Lissu hatonyongwa isipokuwa lengo la kumshikiria NI hili hasiamasishe reform na no elections. Baada ya October ataachiwa huru ondoa hofu
 
Miaka 50 nyuma Dubai ilikuwa ni Jangwa tupu, Hivi leo dah mpaka wazungu wanagubikwa na machozi ya furaha wakifika
 
Back
Top Bottom