and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?
2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.
NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea mishkaki toka China?