and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Nimewaza maisha baada ya Lissu kunyongwa nani ataleta amsha amsha huku wengi wetu makondoo?Umewaza nini?
Nadhani tutafute shanga tu tuvae basi ijulikane moja. Yaan akili imeganda tunapiga makelele kiboya tu lakini hakuna tunachofanyaAhaaaa kwahiyo unahisi tufanyeje ikiwa sisiemu hawaoni tatizo.
Kwa umri wa babaako aliishawahi KUKAMILISHA mahitaji yooooooote ya familia yake? Kama ndio mbona wewe mtoto wake na ukubwa wako unalialia maisha magumu? PUMBAVU!!1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?
2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.
NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea mishkaki toka China?
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?

Tunaagiza mpaka FOIL za kufungia CHIPS? Tupo timamu kweli?Sasa ukiwasikia wenye nchi CCM wanavyojitapa kuhusu kuibadilisha Tanzania...
Kwa upande mmoja, mazingira magumu ni chachu ya creativity na innovation. Kwa upande mwingine, mazingira rahisi huzaa complacency!1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?
2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.
NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea mishkaki toka China?
1. Kuna wakati nawaza hivi Tanganyika ingekua eneo kama ilipo Dubai hali ingekuaje?
2. Miaka zaidi ya 60 bado tunaomba misaada wa kutahiri (kuondoa govi) vijana na ARV toka kwa Watu wa-Marekani na bado tunachekelea.
NB: Bado tunavaa chupi za mitumba, kuagiza viberiti na vijiti vya kuchomea mishkaki toka China?
abisa uko sahihi mkuu,tabia za viongozi ndiyo reflection halisi ya watanzaniaHii nchi inawatu wapumbavu sana na Iq ndogo mno ,yaani chama cha vibakà CCM na hawa mataahira wanaojiita viongozi ndio reflection ya tabia za raia wa nchi hii zilivyo
Lissu hatonyongwa isipokuwa lengo la kumshikiria NI hili hasiamasishe reform na no elections. Baada ya October ataachiwa huru ondoa hofuNimewaza maisha baada ya Lissu kunyongwa nani ataleta amsha amsha huku wengi wetu makondoo?
Machozi ya wazungu yanafanana na ya Lucas Mwashambwa?Miaka 50 nyuma Dubai ilikuwa ni Jangwa tupu, Hivi leo dah mpaka wazungu wanagubikwa na machozi ya furaha wakifika
SafiTungeuza vumbi na mchanga wa jangwa