Tanganyika na Zanzibar zinatumia kikokotoo gani kugawana fedha?

Nadhani wanatumia CASIO , citizen ni mbovu sana na zipo feki nyingi mno kutoka china
Ahsante, huo ndio uwezo wako wa kufikiri ulipoishia?
Wewe ndio hujui kabisaaa!! Mzee Karume aliukubali muungano huu wa hivi kwasababu za woga baada ya kufanya dhambi ya kuwachinja waarabu na mashabiki wao. Kwahiyo wewe unadhani kuwa waliochinjwa hawajaacha ndugu na jamaa zao nje na ndani ya Zanzibar, unadhani mambo yamesha kwenye mioyo yao, wewe unadhani kuwa zile sababu zilizofanya waje kuitawala Zanzibar hazipo tena. Kwa dhambi ile ya kuwachinja waarabu kama Zanzibar ikiachwa peke yao hakutakuwa na Zanzibar bali kutakuwa na Pemba na Unguja na mapigano ya kugombea mali zilizoachwa na Waarabu itazuka. Nje ya muungano hii mtagundua kuwa kumbe Zanzibar ni nchi ndogo sana isiyowatosha, mtagundua kuwa zanzibar kuna weupe na weusi, utagundua kuwa kumbe hapo unapoishi sio kwako utatakiwa aparejeshe kwa mwenyewe
 
Pole sana kwa uwezo wako wa kuifikiri ulipoishia.

Yaani hizo sababu za miaka hiyo za kuchinjwa waarabu ndio zitengeneze uwoga mioyoni mwa Wazanzibar mpaka leo?. Ingekuwa hivyo,hakuna taifa la Africa ambalo halijapitia madhira ya wakoloni weupe,waliwanyanyasa babu zetu,waliwatumikisha kama watumwa. Pia waliwauwa mamia kwa maelfu kwa vipindi tofauti tofauti kuringana na sababu fulani iwe vita au uonezi tu. Lakini wazungu waliotunyanyasa hawana woga huo wa kulipiziwa visasi na pia waafrica walionyanyaswa hawana habari hiyo. Hata juzi juzi sababu za uchaguzi waliuawa wengi kule. Kwamba kuna watu wanafikiria visasi?
 
Then wapunguze mdomo. Tunawalisha vingi mno. Budget ya ulinzi wa state house yao tunafoot sisi, raw income at 4.5% inaenda kwao, ajira watu wapo 2% ila wanapewa 21%. NUTS WE ARE TIRED! Then hapa wanatupigia makelele.
 
Ndio nyie mnafaidika na muungano
Tueleze Tanganyika inanufaika na nini? Haya ndio mambo ya kujua na utusaidie tafadhali
Kifupi Kwa sasa Zanzibar wanahitaji kujitawala wenyewe sasa,hawahitaji huo muungano na Tanganyika pia hatuhitaji huo Muungano ksbb tuna uhakika unatunyonya kwa mambo mengi (nimesema kifupi).
Kwavile una uhakika muungano unawanyonya, eleza ni eneo au maeneo gani unadhani Zanzibar wana nonywa.
Unazijua siasa za Zanzibar kuanzia miaka ya 1950? Unajua nini alisema A.Babu RIP mwaka 1963?
Unajua ZPP , ASP UMMA party vilikuwa na siasa gani na chaguzi za awali zilikuwaje?
 
Hiyo haifanani na hii ya mapinduzi ya Zanzibar. Wakoloni hawakuua watu kama vile ilivyofanyika kwenye mapinduzi ya Zanzibar. Mapinduzi Yale ni sawa na Nazi ya Adolf Hitler alivyowaua wayahudi, watoto na wajukuu wa wayahudi Wana hasira na manazi hadi kesho. Waarabu na baadhi ya wazanzibar Wana hasira juu mauaji Yale hadi kesho. Ndio maana Kuna kundi hata likishindwa uchaguzi halipewi dola kutawala. Kuna mtu alisema hatuwezi kuwapa nchi kwa vikaratasi ndani ya box la kura wakati sisi tuipata nchi kwa kuchinja watu.
 
Kwanini hadi Leo Rwanda na Burundi hakuko shwari kati ya watsi na wahutu? Sababu kuu wao walichinjana kama vile wazanzibar walivyochinjana, kama vile wapalestina na waisrael wanavyochinjana, kama vile wayahudi na Manazi walivyochinjana, kama vile watiglai na watawala wa Ethiopia wanavyochinjana. Katika mazingira kama hayo ugomvi na hazira hazitoki moyoni milele. Kwahiyo usijidanganye kuwa Zanzibar mambo yako shwari, sio kweli sio kweli na sio kweli. Nje ya muungano huu timbwilitimbwili litakalohatarisha hata amani ya Tanganyika linaweza kuzuka, hasa la kulipiza kisazi na kudai Mali, ardhi, majengo, misikiti, mahoteli, nk.
 
 
Bil 1.0 kwa mkoa wa Tanganyika haitoshi kabisa kwa zoezi la anwani za makazi: posho, kusafiri, wino, vibao, kuchimbia na kuandika anwani. Mfano mkoa wa Tanga una Wilaya za Tanga, Korogwe, Muheza, Lushoto, Handeni, Kilindi. 1 bil ukiigawia vilaya 6 kila Wilaya itapata mil 166, hela kidogo sana zisizotosha kuweka anwani hizo kwenye tarafa, kata, vijiji na vitongoji vya Wilaya nzima iliyotawanyika. Wilaya moja ya Handeni Ina tarafa 6 hivyo mil 166 ukiwagawa kwa tarafa 6 utapata sh. 27,000,000 na tarafa moja ya Magamba Ina kata 5 hivyo kupata mil 5.2 na kata moja ya Kwankonje Ina vijijini vijiji 5 na kufanya kila Kijiji kipate mil. 1 TU. Na hii ni kama viongozi wa mkoa na Wilaya, tarafa na kata hawatumia hela hii kwa usafiri na posho zao.
 
Iacheni tuu Zanzibar irudishe mamlaka yake. Wazanzibari wa diaspora na ndugu zetu wa Arabuni watatusaidia kuleta maendeleo. Machogo hamna jipya. Miaka 58 tangu mfanye uvamizi Zanzibar, mlichoweza kufanya ni kuleta umaskini na kumwaga damu za Wazanzibari. Wazanzibari wameshachoka. Nendeni mkaungane na Burundi, Zanzibar iacheni iendelee.
 
Hiyo namba tatu nakataa, mchungaji aliyevunjiwa kanisa alinunua eneo zanzibar wakati yeye ni mtanganyika, pia kuhusu ajira yupo mtu anaitwa jane kaajiliwa znz wakati yeye ni kutoka bara,
 
Eti na wewe umesema!!, Hivi unajuwa ni WA Zanzibar wangapi wako Bara? Hivi unafahamu ni WA Zanzibar wenyewe walioomba muungano huu baada ya kuwachinja waarabu?
 
Hiyo namba tatu nakataa, mchungaji aliyevunjiwa kanisa alinunua eneo zanzibar wakati yeye ni mtanganyika, pia kuhusu ajira yupo mtu anaitwa jane kaajiliwa znz wakati yeye ni kutoka bara,
mpaka ukae miaka mingapi ndo unaruhusiwa? na swali lingine kwa nini kanisa livunjwe?
 
mpaka ukae miaka mingapi ndo unaruhusiwa? na swali lingine kwa nini kanisa livunjwe?
Hiyo ya miaka ndio naskia kwako, kuhusu kanisa kuvunjwa uzi upo humu utafute utauona
 
nenda sasa hivi na ubara wako tuone kama utanunua ardhi
Mbona mm nimenunua ardhi kule Kijichi Zanzibar? Nikajenga na kukaa kama Nikiwa Zanzibar? Hebu nenda ukajaribu usifanye kuambiwa. Zalongwa mbali zatendwa mbali. Nenda pale darajani, forodhani, baharini, mahotelini, taxi drivers wanaofanya biashara huko ni watanganyika.
 
Sijakukatalia vyote. Swali language je BOT ina miliki nini Na nini? Faida yake kwa mwaka je ni tsh ngapi? Hayo ndiyo maswali yangu. Asilimia ishirini huo ni mtaji. Na je fedha zote mnazopewa tunapokopa ila Tanganyika tunalipa zimefika sh ngapi?
Mnalipa nyiynyi ki vipi? Kama ni Kodi TRA Wanakusanya kama kawaida zanzibar, Mahoteli yote ya Kitalii Zanzibar wakusanyaji Kodi ni wao. Sasa hizi kodi zetu miunazipeleka wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…