Tanganyika ndiyo iliyoiharibia uchumi na amani Zanzibar

Pekenina

Member
Joined
Aug 27, 2024
Posts
79
Reaction score
164
Zanzibar pasingetokea mapinduzi ambayo yaliyoasisiwa Tanganyika na wakubwa na kumfanya Rais Amani Karume akubali Muungano kwa shingo upande, basi leo hii Zanzibar ingekuwa na uchumi mkubwa pamoja amani lakini Leo hii Zanzibar inatia huruma.

Kila kitu kinaamuliwa kutoka bara,kuanzia Rais wao mpaka mstakabali wa siasa zoo, yaani CCM imekuwa kila mwaka ikiingilia uchaguzi na kumuweka Rais aliyeshindwa na kumuacha ambaye ni chaguo la wanzanzibar,hii chuki sijui itakuja kuishi lini,wakati kabla ya mapinduzi watu waliishi kwa undugu na amani,nani alaumiwe ni yule siku zote ambaye mnamuita mtakatifu

PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
 
Ohh kumbe kwa maoni yako hayakuwa mapinduzi matukufu?
 
Wazanzibar wamemashika pabaya Watanganyika,mwisho Watanganyika wanatawaliwa na Wazanzibar.
 
Zanzibar pasingetokea mapinduzi ambayo yaliyoasisiwa Tanganyika na wakubwa na kumfanya Rais Amani Karume akubali Muungano kwa shingo upande, basi leo hii Zanzibar ingekuwa na uchumi mkubwa pamoja amani lakini Leo hii Zanzibar inatia huruma.

Kila kitu kinaamuliwa kutoka bara,kuanzia Rais wao mpaka mstakabali wa siasa zoo, yaani CCM imekuwa kila mwaka ikiingilia uchaguzi na kumuweka Rais aliyeshindwa na kumuacha ambaye ni chaguo la wanzanzibar,hii chuki sijui itakuja kuishi lini,wakati kabla ya mapinduzi watu waliishi kwa undugu na amani,nani alaumiwe ni yule siku zote ambaye mnamuita mtakatifu

PIA SOMA
- Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?
Chief kivip
 
Aman Karume kawa rais wa Zanzibar mwaka 2000 juzi tu.Muungano ni wa 1964.
 
Back
Top Bottom