wewe ni mmoja kati ya wale wanao endeleza ukandamizi wa watu dhidi ya watu. Ilivo palestina na Israeli ndio vile vile ilivo tanganyika juu ya Zanzibar. Tafauti ni kuwa sisi hatukufanya fujo kwa kuwa tulijuwa mutatumaliza. !964, unguja na pemba tulikuwa watu 300,000 mukauwa watu 26,000 Kila familia walikuwa wana muathirika wa mapinduzi. Wengi wazanzibari hatusherehekei Mapinduzi. Wanao shereheka ni wanaokuja kutoka bara na wasaliti wenzao. wazanzibari asili, ambao ndio sisi, huwa hatujiiingizi katika maasi hayo.