Tanganyika Occupation of Zanzibar should end ASAP

Hakuna taifa linajiita wazenji?
Tuna watanzania
Ni vizuri wakucheki document zako huwezi kua muafrica ww ! Ni waarabu wa oman pekee ndo wanaweza ing’ang’ania zanzibar
sisi hatujitambulishi kama wa TZ. uliza embassy zenu . Kila nchi ina kumuiya ya wazanzibari. sisi tupo na hamuwezi kutumeza kwa kuwa muna nguvu. wazanzibari kila kipembe duniani.
 
wenye ardhi ya Zanzibar tupo. Sisi tunaweza kujitambulisha generation 25 hadi sasa. Wewe unaweza kuwataja babu zako waliopita generation 25?. Acheni kuzusha eti zanzibar haina wenyewe. wazee wetu walikuwa wakifanya biashara na Meng dynasty ya china. Nyinyi muna historia hiyo?. Wenye zanzibar tupo.
Nani asiyejua kuwa Zanzibar ilikaliwa na Sultanate of Oman??
Hata hizo biashara unazodai Oman Sultanate ndio ili ratibu.
Wazanzibari wenyewe wanafurahia muungano kwasababu Zanzibar inanufaika na huu muungano kuliko Tanzania bara.
Nchi yenyewe ya watu wavivu,wamwinyi na watu msiokua na maarifa mkiachwa wenyewe nini mnaweza kufanya??
Hamna kitu Zanzibar mnaweza fanya wenyewe.
 
It's been 58 yrs. now Tanganyika have taken away the indepence of our country Zanzibar. We got our indepence from Britain and became a member of the United Nations. Kenya also became a member of the UN on the same day, As a member of UN, we fall under every security council resolution determining the status of occupied nations. We are urging members of the security council to condemn this occupation and give back zanzibar it's place in the UN.
Frankly speaking, dissolving this unity has more negative than positive effects to Zanxibarians. Zanzibar is a parasite to our economy. They have their gov, constitution n revenue authority but still depends on Tanzania as it's finacier. It's too annoying to know that the tz parliament just agreed to the bill of buying 2 private jets for the president n his debuty of zanzibar yet there's a conjested primary school in chato without washrooms. We pay their public debt n finance their government in paying their civil servants. I basically don't know what Tanzania gains out of this unity, but I know we are loosing much more than what we gains.
 
It's been 58 yrs. now Tanganyika have taken away the indepence of our country Zanzibar. We got our indepence from Britain and became a member of the United Nations. Kenya also became a member of the UN on the same day, As a member of UN, we fall under every security council resolution determining the status of occupied nations. We are urging members of the security council to condemn this occupation and give back zanzibar it's place in the UN.

1. What is occupation?​

Article 42 of the 1907 Hague Regulations (HR) states that a " territory is considered occupied when it is actually placed under the authority of the hostile army. The occupation extends only to the territory where such authority has been established and can be exercised. "

According to their common Article 2, the four Geneva Conventions of 1949 apply to any territory occupied during international hostilities. They also apply in situations where the occupation of state territory meets with no armed resistance.

The legality of any particular occupation is regulated by the UN Charter and the law known as jus ad bellum. Once a situation exists which factually amounts to an occupation the law of occupation applies – whether or not the occupation is considered lawful.

Therefore, for the applicability of the law of occupation, it makes no difference whether an occupation has received Security Council approval, what its aim is, or indeed whether it is called an “invasion”, “liberation”, “administration” or “occupation”. As the law of occupation is primarily motivated by humanitarian considerations, it is solely the facts on the ground that determine its application.

2. When does the law of occupation start to apply?
The rules of international humanitarian law relevant to occupied territori es become applicable whenever territory comes under the effective control of hostile foreign armed forces, even if the occupation meets no armed resistance and there is no fighting.

The question of " control " calls up at least two different interpretations. It could be taken to mean that a situation of occupation exists whenever a party to a conflict exercises some level of authority or control within foreign territory. So, for example, advancing troops could be considered bound by the law of occupation already during the invasion phase of hostilities. This is the approach suggested in the ICRC's Commentary to the Fourth Geneva Convention (1958).

An alternative and more restrictive approach would be to say that a situation of occupation exists only once a party to a conflict is in a position to exercise sufficient authority over enemy territory to enable it to discharge all of the duties imposed by the law of occupation. This approach is adopted by a number of military manuals.

What is annexation and colonialism?

Definition of annexation: the action of annexing something, especially territory. Definition of colonization: the action or process of settling among and establishing control over the indigenous people of an area.Feb 18, 2017

I guess after this short info., you can figure out, why we Zanzibaris never wanted the occupation and annexation of our Nation.
 
Nani asiyejua kuwa Zanzibar ilikaliwa na Sultanate of Oman??
Hata hizo biashara unazodai Oman Sultanate ndio ili ratibu.
Wazanzibari wenyewe wanafurahia muungano kwasababu Zanzibar inanufaika na huu muungano kuliko Tanzania bara.
Nchi yenyewe ya watu wavivu,wamwinyi na watu msiokua na maarifa mkiachwa wenyewe nini mnaweza kufanya??
Hamna kitu Zanzibar mnaweza fanya wenyewe.
Kasugi, samahani sana, unapotosha na hayo ulioandika ni matusi. Aliyepinduliwa sio Sultani wa Omani bali ni mzanzibari halisi na ilikuwa zanzibar huru kutoka UINGEREZA. Mkoloni alikuwa muingereza. Acha kupotosha. Nyinyi pia mulitawaliwa. Hamna mzanzibari asili anaekubali kutawaliwa. Hao muliowaweka kwenye baraza la wawakilishi ni waliopinduwa na kizazi chao na hata raisi wa zanzibar kwao ni mukuranga na aliwahi kuwa mbunge wa kwao. Muna lazimisha wawe wazenji lakini sisi tunajuwana. Zanzibar kabla mapinduzi ilikuwa nchi ya pili kwa utajiri africa na mulipopinduwa mukaiba kila kitu. Wezi ni nyinyi na vibaraka wenu. Wavivu ni nyinyi watanganyika musiojijuwa. Mali zenu zinaibiwa na wazungu na nyinyi munafurahia. Vibaraka na wakoloni dhidi ya watu wazanzibari.
 
Utaingia lakini utahitaji authorization kufanya shughuli zako kwasababu ina mamlaka zake zinazojitegemea mfano mtu wa bara haruhusiwi kuendesha gari kwa leseni ya bara mpaka mamlaka za zanzibar zimdhibishe
Sio kweli, ninetumia leseni ya bara kwa muda mrefu, hawakuzuiii kuendesha ila wanataka uwe kwenye mifumo Yao, kwa ajiri ya mapato,ZRB na TRA hazisomsni,
 
Kasugi, samahani sana, unapotosha na hayo ulioandika ni matusi. Aliyepinduliwa sio Sultani wa Omani bali ni mzanzibari halisi na ilikuwa zanzibar huru kutoka UINGEREZA. Mkoloni alikuwa muingereza. Acha kupotosha. Nyinyi pia mulitawaliwa. Hamna mzanzibari asili anaekubali kutawaliwa. Hao muliowaweka kwenye baraza la wawakilishi ni waliopinduwa na kizazi chao na hata raisi wa zanzibar kwao ni mukuranga na aliwahi kuwa mbunge wa kwao. Muna lazimisha wawe wazenji lakini sisi tunajuwana. Zanzibar kabla mapinduzi ilikuwa nchi ya pili kwa utajiri africa na mulipopinduwa mukaiba kila kitu. Wezi ni nyinyi na vibaraka wenu. Wavivu ni nyinyi watanganyika musiojijuwa. Mali zenu zinaibiwa na wazungu na nyinyi munafurahia. Vibaraka na wakoloni dhidi ya watu wazanzibari.
umemaliza, untold truth!
Kwamba Mwinyi ni "m'bara wa Mkuranga" the rest is story za kwenye ghahawa hapo "mchambawima"
 
Kasugi, samahani sana, unapotosha na hayo ulioandika ni matusi. Aliyepinduliwa sio Sultani wa Omani bali ni mzanzibari halisi na ilikuwa zanzibar huru kutoka UINGEREZA. Mkoloni alikuwa muingereza. Acha kupotosha. Nyinyi pia mulitawaliwa. Hamna mzanzibari asili anaekubali kutawaliwa. Hao muliowaweka kwenye baraza la wawakilishi ni waliopinduwa na kizazi chao na hata raisi wa zanzibar kwao ni mukuranga na aliwahi kuwa mbunge wa kwao. Muna lazimisha wawe wazenji lakini sisi tunajuwana. Zanzibar kabla mapinduzi ilikuwa nchi ya pili kwa utajiri africa na mulipopinduwa mukaiba kil kitu. Wezi ni nyinyi na vibaraka wenu. Wavivu ni nyinyi watanganyika musiojijuwa. Mali zenu zinaibiwa na wazungu na nyinyi munafurahia. Vibaraka na wakoloni dhidi ya watu wazanzibari.
Una uhakika Zanzibar ilikua ya pili kwa utajiri Afrika???
Utajiri gani unauzungumzia wewe??
Nini mlikua mnazalisha na kuuza??
Naepotosha historia mimi au wewe??
Una uhakika aliyepinduliwa ni Mzanzibari??
Unaijua historia ya Zanzibar ni ya asili ya watu gani??
Kwani Zanzibar ilikua ya washombe shombe tukifuata mlolongo wa historia???
Hizi stori sijui unamezeshwa wapi!
Sultanate of Oman ndiyo iliyopinduliwa.
Sio Sultan of Oman noop Sultanate of Oman.
Uko serious kabisa kuwa Zanzibar ilikua ya pili kiutajiri na alopinduliwa ni Mzanzibari.
Waingereza walichokifanya Zanzibar ni sawa na walichofanya South Africa.
Zanzibar waliacha utawala kwa mashombe ya kiOman kama ilivyo South Africa waliacha utawala kwa makaburu.
Huo utauitaje uhuru kamili??
Embu kasome usituletee janja janja hapa.
Ninyi ndio watu mtaja sema Tanga ya mashombe kisa kuna mashombe.
Kwa uvivu Wazanzibari wavivu hakuna kitu mnaweza kufanya.
Kwani hatuwajui ninyi??
Kazi kuendekeza ushirikina tu.
Maana hata mkitizamwa muna natural resources zipi useme Tanganyika tunaweza ziiba zikatunufaisha??
Embu nitajie hapa.
 
sisi hatujitambulishi kama wa TZ. uliza embassy zenu . Kila nchi ina kumuiya ya wazanzibari. sisi tupo na hamuwezi kutumeza kwa kuwa muna nguvu. wazanzibari kila kipembe duniani.
Muna nguvu gani geopolitically and economically??
Kwani jamii yenu sie hatuishi nayo??
Jamii ya watu wavivu wasiotaka kujipembua na kupambana.
 
Una uhakika Zanzibar ilikua ya pili kwa utajiri Afrika???
Utajiri gani unauzungumzia wewe??
Nini mlikua mnazalisha na kuuza??
Naepotosha historia mimi au wewe??
Una uhakika aliyepinduliwa ni Mzanzibari??
Unaijua historia ya Zanzibar ni ya asili ya watu gani??
Kwani Zanzibar ilikua ya washombe shombe tukifuata mlolongo wa historia???
Hizi stori sijui unamezeshwa wapi!
Sultanate of Oman ndiyo iliyopinduliwa.
Sio Sultan of Oman noop Sultanate of Oman.
Uko serious kabisa kuwa Zanzibar ilikua ya pili kiutajiri na alopinduliwa ni Mzanzibari.
Waingereza walichokifanya Zanzibar ni sawa na walichofanya South Africa.
Zanzibar waliacha utawala kwa mashombe ya kiOman kama ilivyo South Africa waliacha utawala kwa makaburu.
Huo utauitaje uhuru kamili??
Embu kasome usituletee janja janja hapa.
Ninyi ndio watu mtaja sema Tanga ya mashombe kisa kuna mashombe.
Kwa uvivu Wazanzibari wavivu hakuna kitu mnaweza kufanya.
Kwani hatuwajui ninyi??
Kazi kuendekeza ushirikina tu.
Maana hata mkitizamwa muna natural resources zipi useme Tanganyika tunaweza ziiba zikatunufaisha??
Embu nitajie hapa.
kasugi, huna lakusema wewe una uashabiki kiasi kwamba umeshindwa kufahamu ukweli wa mambo. Kama unamtetea Mwinyi kuwa mzanzibari kwa kuwa mama yake mzanzibari unashindwa kujuwa mfalme wa Zanzibar mamake na babake ni wazanzibari. Ikiwa ni asili, hata nyinyi mulikuja bara generation nene tano zilizopita. Kwa hiyo tukianza kutafutana sababu ya asili, basi utajikuta umetoka sudani. wazanzibari onaowataja ni hao hao jamaa zenu muliowaleta kuja kupinduwa serikali inayo tambulika Umoja wa mataifa mukatuletea mafia , majambazi, wabakaji , wauwaji .
 
Muna nguvu gani geopolitically and economically??
Kwani jamii yenu sie hatuishi nayo??
Jamii ya watu wavivu wasiotaka kujipembua na kupambana.
Mbona munalazimisha muungano?. Sisi hatuja fanya referendum juu ya muungano. Hiyo ni njama ya Nyerere kutaka kuifisidi nchi yetu. Kweli kabisa akili zenu na za mayahudi wanao wauwa wapalestina ni moja. Yaani munauwa na musiambiwe kitu. Zanzibar itabaki kuwa Zanzibar. Huyu kibaraka wenu Mwinyi hakupata kura hapa zenji. Kwa hiyo anakaa kwa jeshi lenu tu. Sisi hatumtaki mumchukuwe na hicho chama chenu pia hakitakiwi. Munalazimisha.
 
kasugi, huna lakusema wewe una uashabiki kiasi kwamba umeshindwa kufahamu ukweli wa mambo. Kama unamtetea Mwinyi kuwa mzanzibari kwa kuwa mama yake mzanzibari unashindwa kujuwa mfalme wa Zanzibar mamake na babake ni wazanzibari. Ikiwa ni asili, hata nyinyi mulikuja bara generation nene tano zilizopita. Kwa hiyo tukianza kutafutana sababu ya asili, basi utajikuta umetoka sudani. wazanzibari onaowataja ni hao hao jamaa zenu muliowaleta kuja kupinduwa serikali inayo tambulika Umoja wa mataifa mukatuletea mafia , majambazi, wabakaji , wauwaji .
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Nimemtetea Mwinyi muda gani??
Unafahamu maana ya asili???
Yani sisi tuje bara vizazi vinne ama vitano vilivyopita buddah unajiskia unachoongea??!!
Aya tumetokea wapi mpaka tuje Bara vizazi vitano nyuma??
Hiyo Sudan unayozungumzia imevamiwa kiasili pia.
Visiwa vya Unguja na Pemba hadi vya Comoros na Madagascar ni visiwa asili ya Bantu na Cushites.
Kama unajua makabila makuu ya kiasili Afrika ni manne Bantu,khoisan,Cushite na Nilote.
Visiwa vingi Afrika vimechanganywa asili na waarabu na wahindi na kuichafua asili kuu ya Bantu na Cushite ilokua iki exist hapo miaka kibao kabla ya ujio wa hao outsiders hapa Afrika.
Hata ukisema mie nimetokea Sudan nikaja Tz kwa vizazi vilivyopita Sudan wanubi na makabila yao ni uzao wa BANTU NA NILOTES hivyo ni uzao wa asili wa kiafrika.Je Waarabu ni moja ya uzao wa asili ya kiAfrika??
Hivyo ukifuatilia kiasili Unguja na Pemba ni ya Bantus ila toka Oman Sultanate ilipojikita makao makuu yake Zanzibar asili ya bantu ilimezwa kama jinsi asili ya red hindis ilivyomezwa North America walipokuja Waingereza na Irish men.Asahivi kumtafuta Caucassian pale Amerika kaskazini ngumu kumpata.
Hivyo hizi shombo za waarabu zisiwafanye mkajua Zanzibar yenu aisee,pia hakuna anayelazimisha muungano bali viongozi wenu wa Zanzibar wanashikilia muungano usivunjike kwa maslahi yao pia.
Kasome historia kwanza maana kuna mengi huyajui.
 
Nyie mmeamua kuchagua CCM huyo ndiye adui yenu
CCM hawajawahi kushinda uchaguzi zanzibar. Sisi hatujawahi kuchukuwa silaha. Lakini wanakotupeleka sio kuzri. Wapalestina na sisi hamna tafauti ila ni miaka na njia ya kukandamizwa.
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Nimemtetea Mwinyi muda gani??
Unafahamu maana ya asili???
Yani sisi tuje bara vizazi vinne ama vitano vilivyopita buddah unajiskia unachoongea??!!
Aya tumetokea wapi mpaka tuje Bara vizazi vitano nyuma??
Hiyo Sudan unayozungumzia imevamiwa kiasili pia.
Visiwa vya Unguja na Pemba hadi vya Comoros na Madagascar ni visiwa asili ya Bantu na Cushites.
Kama unajua makabila makuu ya kiasili Afrika ni manne Bantu,khoisan,Cushite na Nilote.
Visiwa vingi Afrika vimechanganywa asili na waarabu na wahindi na kuichafua asili kuu ya Bantu na Cushite ilokua iki exist hapo miaka kibao kabla ya ujio wa hao outsiders hapa Afrika.
Hata ukisema mie nimetokea Sudan nikaja Tz kwa vizazi vilivyopita Sudan wanubi na makabila yao ni uzao wa BANTU NA NILOTES hivyo ni uzao wa asili wa kiafrika.Je Waarabu ni moja ya uzao wa asili ya kiAfrika??
Hivyo ukifuatilia kiasili Unguja na Pemba ni ya Bantus ila toka Oman Sultanate ilipojikita makao makuu yake Zanzibar asili ya bantu ilimezwa kama jinsi asili ya red hindis ilivyomezwa North America walipokuja Waingereza na Irish men.Asahivi kumtafuta Caucassian pale Amerika kaskazini ngumu kumpata.
Hivyo hizi shombo za waarabu zisiwafanye mkajua Zanzibar yenu aisee,pia hakuna anayelazimisha muungano bali viongozi wenu wa Zanzibar wanashikilia muungano usivunjike kwa maslahi yao pia.
Kasome historia kwanza maana kuna mengi huyajui.
Bado huijui historia ya Zanzibar. Naona upo katika ulimbukeni. Tafuta historia ya kweli ya Zanzibar. Hata hao munao sema watumbatu, kawaulize asili yao watakwambia. Soma ujue. Sisi tunaongea , Tanganyika na ukoloni wake dhidi ya zanzibar. Mzanzibari yeyote, awe ana asili ya kibantu etc hataki kutawaliwa na tanganyyika.
 
UKOLONI MWISHO TUMECHOKA KUTAWALIWA KWA KULETEWA VIBARAKA, WAHUNI, WEZI, WAUWAJI.
 
It's been 58 yrs. now Tanganyika have taken away the indepence of our country Zanzibar. We got our indepence from Britain and became a member of the United Nations. Kenya also became a member of the UN on the same day, As a member of UN, we fall under every security council resolution determining the status of occupied nations. We are urging members of the security council to condemn this occupation and give back zanzibar it's place in the UN.
Hata ndoa yako ukiona uliemwoa hana jema ni ulalamishi full time, Piga chini, mimi binafsi nimechoka kuwabembeleza wazenji ni vema wakajaribu maisha nje ya ndoa
 
I never knew that there are Tanganyikans in Zanzibar! I thought they come in as tourists with passports and go back to Tanganyika afterwards 🤔
They have settled and grabbed our lands in the name of revolutionary alotment. Many of them have been given three acres per person of land confiscated.
 
Back
Top Bottom