Tanganyika Occupation of Zanzibar should end ASAP

Ukiandika ung'eng'e ndio mnapewa uhuru wenu?
 
Ukiandika ung'eng'e ndio mnapewa uhuru wenu?
wewe ni mmoja kati ya wale wanao endeleza ukandamizi wa watu dhidi ya watu. Ilivo palestina na Israeli ndio vile vile ilivo tanganyika juu ya Zanzibar. Tafauti ni kuwa sisi hatukufanya fujo kwa kuwa tulijuwa mutatumaliza. !964, unguja na pemba tulikuwa watu 300,000 mukauwa watu 26,000 Kila familia walikuwa wana muathirika wa mapinduzi. Wengi wazanzibari hatusherehekei Mapinduzi. Wanao shereheka ni wanaokuja kutoka bara na wasaliti wenzao. wazanzibari asili, ambao ndio sisi, huwa hatujiiingizi katika maasi hayo.
 
Nyie mmeamua kuchagua CCM huyo ndiye adui yenu
 
Uhuru wenyewe mlikombolewa na muafrica toka Uganda?? Kwa akili zako za kitumwa ungekua unachambisha waarabu
 
Its not true, we united by mutual agreement which WILL NEVER BE terminated.
 
Nyie mmeamua kuchagua CCM huyo ndiye adui yenu
CCM haijawahi kushinda Zenji. Imethibitishwa na viongozi wa CCM wa ngazi ya juu. Mwenda zake (magu) alipoona asili mia 86 imemkataa ndipo alipofanya chuki kubwa dhidi ya wazenji lakini Mungu alimuona.
 
Hakuna taifa linajiita wazenji?
Tuna watanzania
Ni vizuri wakucheki document zako huwezi kua muafrica ww ! Ni waarabu wa oman pekee ndo wanaweza ing’ang’ania zanzibar
 
Mkoloni wenu ni CCM, wala siyo Tanganyika au Watanganyika
 
Hakuna taifa linajiita wazenji?
Tuna watanzania
Ni vizuri wakucheki document zako huwezi kua muafrica ww ! Ni waarabu wa oman pekee ndo wanaweza ing’ang’ania zanzibar
huo sio ukweli kabisa. Waomani hawaja ng'ang'ania zanzibar. Mbona Nyerere alikwenda Oman na alikuwa na uhusiano mzuri na waomani. Hizo ni chuki zisizo msingi. Tukae kwenye mada husika.
 
Hakuna taifa linajiita wazenji?
Tuna watanzania
Ni vizuri wakucheki document zako huwezi kua muafrica ww ! Ni waarabu wa oman pekee ndo wanaweza ing’ang’ania zanzibar
Watanzania ni taifa la kubuni. Kama alivosema Shaaban Robert, ni nchi ya kusadikika. Tanzania iliwekwa kuiuwa Zanzibar na ilifanywa bila ya ridhaa ya wazanzibari. Zanzibar bado haijajitoa kwenye umoja wa mataifa. Hamna barua ya kujiondoa ila Tanzania imekalia kiti cha Zanzibar.
 
Hamna makubaliano ya muungano. Kuna "articles of the union" basi . Hamna makubaliano kabisa. Tumetawaliwa na akina Nyerere et al.
Articles of Union ndio makubaliano yenyewe.
Kuna makubaliano mengine yapo na hutokaa uyaone labda uwe umekula kiapo cha urais waJMT.
 
Zanzibar ni ardhi ya wahamiaji, haina mwenyewe...
wenye ardhi ya Zanzibar tupo. Sisi tunaweza kujitambulisha generation 25 hadi sasa. Wewe unaweza kuwataja babu zako waliopita generation 25?. Acheni kuzusha eti zanzibar haina wenyewe. wazee wetu walikuwa wakifanya biashara na Meng dynasty ya china. Nyinyi muna historia hiyo?. Wenye zanzibar tupo.
 
Its not true, we united by mutual agreement which WILL NEVER BE terminated.
masikitiko makubwa kwa watu wasio na uwelewa. Haqmna kitu kama hicho. Muulize Kikwete, ali FEKI karatasi za makubaliano na zilipopelekwa kuthibitishwa zikafeli. Hayo makubaliano yatakuwa ni ya kimataifa lakini hamna ushahidi wake. Hata Un wanatambua kuwa zanzibari ni taifa lililo tawaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…