Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
ni kuwayawaya stephen kuwayawayaMwenye suti nyekundu ni nani?
Kuwayawaya SteveMwenye suti nyekundu ni nani?
wachezaji na mashati yao ya UJI-UJIMwenye suti nyekundu ni nani?
Namuona rafiki yangu Red boy hapo! Alikuwa Manazi wa simba. Hivi sijui yupo wapi siku hizi! Mwenye kujua anijuze- Wakili msomi na aliukwaa Ubunge enzi hizoView attachment 2551902
Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha.
ilikuwa mwaka 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la Kipare lilisakata Kabumbu si hawa akina Fei mnawapa airtime tu.
PICHANI
Sylversaid
Marehemu REGINALD Mengi
Prof Philemon Sarungi
Mzee Hussein Mwinyi[Rais wa Tanzania by then]
Kusenha
Azim Dewji, kipindi hicho Mo bado anavaa pempas na kucheza nage Upanga
Marehemu Said Mwamba 'KIZOTA"
Mwanamtwa Kihwelo
Sekilojo Chambua
Lunyamila Jonas Edibily
Steven Nemesi
Masha
Etc etc
wengi wa hawa wachezaji ni wachuuzi kariakoo, kuna wanao endesha kirikuu pale karumeNamuona rafiki yangu Red boy hapo! Alikuwa Manazi wa simba. Hivi sijui yupo wapi siku hizi! Mwenye kujua anijuze- Wakili msomi na aliukwaa Ubunge enzi hizo
Red boy ni Huyo mwenye kaunda suti nyekundu. Yeye hakuwa mchezaji bali alikuwa mnazi wa simba! Hata kitambaa cha mkononi ilikuwa ni nyekundu. Kuwayawaya na alikuwa Wakili baadaye mbunge kwao dodomawengi wa hawa wachezaji ni wachuuzi kariakoo, kuna wanao endesha kirikuu pale karume
Taja mchezaji hapo aliyetoka visiwani... kipindi cha Rais Ally Hassan Mwinyi timu ya taifa ilijulikana kama Tanganyika Stars? Tena Nyerere akiwa bado hai? Si ilikuwa uhaini kipindi hicho kutamka neno Tanganyika? Umetupiga kamba hapo kwenye jina la timu!
Red boy ni Huyo mwenye kaunda suti nyekundu. Yeye hakuwa mchezaji bali alikuwa mnazi wa simba! Hata kitambaa cha mkononi ilikuwa ni nyekundu. Kuwayawaya na alikuwa Wakili baadaye mbunge kwao dodoma
Mafanikio hayaji kwa kuwananga waliofanikiwa. Sehemu zote umetaja majina bila maelezo. Ulipofika kwa Azim Dewji, ukaanza kumshambulia Mo Dewji. Tajiri ni tajiri, maskini ataishia kwenye keyboardAzim Dewji, kipindi hicho Mo bado anavaa pempas na kucheza nage Upanga
Mh mbona ilikuwa kunogesha tu.Mafanikio hayaji kwa kuwananga waliofanikiwa. Sehemu zote umetaja majina bila maelezo. Ulipofika kwa Azim Dewji, ukaanza kumshambulia Mo Dewji. Tajiri ni tajiri, maskini ataishia kwenye keyboard
Mchezaji ana rasta .Natazama nyuso za hao wachezaji wanonekana kabisa awakua wapaka poda ni kazikazi tu wakiwa uwanjani.unachewa faulo mbaya ainui mkono wala kulalamika kwa refa anainuka akaimbiza mpira.
Marehemu wakili kuwayawaya Steven-Shabiki wa Simba balaaMwenye suti nyekundu ni nani?
Kwa mujibu wa mziray finali na Kenya ilikua ngumu mno,marehemu kizota alipiga kichwa akiwa amelipa goli mgongoView attachment 2551902
Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha.
ilikuwa mwaka 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la Kipare lilisakata Kabumbu si hawa akina Fei mnawapa airtime tu.
PICHANI
Sylversaid
Marehemu REGINALD Mengi
Prof Philemon Sarungi
Mzee Hussein Mwinyi[Rais wa Tanzania by then]
Kusenha
Azim Dewji, kipindi hicho Mo bado anavaa pempas na kucheza nage Upanga
Marehemu Said Mwamba 'KIZOTA"
Mwanamtwa Kihwelo
Sekilojo Chambua
Lunyamila Jonas Edibily
Steven Nemesi
Masha
Etc etc
Siku hizo mwanaume hapaki poda,na ukinukia pafyum watu wanakuona vipi,ni mafuta ya rays,mwalimu, petroleum jellyNatazama nyuso za hao wachezaji wanonekana kabisa awakua wapaka poda ni kazikazi tu wakiwa uwanjani.unachewa faulo mbaya ainui mkono wala kulalamika kwa refa anainuka akaimbiza mpira.
Ila hao madingi walikua wanatujua mpira aisee,ingekua Leo tungeuza wengi ulaya yaani,Marsha alikua anautwanga,kizota mvivu wa mazoezi Ila haishiwi pumzi na kontrol Kama anatumia mikono,namba zote kasoro kipaSiku hizi ndo ule usemi wa kichwa cha mwendawazimu ulipotoka