Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Timu ya Taifa baada ya kuchukua kombe la Challenge, Syllersaid Salimin Kahema Kangero MZIRAY aka Super Coach akiwa Kocha.
ilikuwa 1994 sina hakika na mwaka. Rest in Peace SillaMziray, toto la Kipare lilisakata Kabumbu si hawa akina Fei mnawapa airtime tu.
PICHANI
Sylversaid
Marehemu REGINALD Mengi
Prof Philemon Sarungi
Mzee Hussein Mwinyi[Rais wa Tanzania by then]
Kusenha
Azim Dewji, kipindi hicho Mo bado anavaa pempas na kucheza nage Upanga
Marehemu Said Mwamba 'KIZOTA"
Mwanamtwa Kihwelo
Sekilojo Chambua
Lunyamila Jonas Edibily
Steven Nemesi
Masha
Etc etc