Tanganyika wameshindwa kustahimili kile Zanzibar imepitia tokea siku ya kwanza ya muungano

unkownguy

Member
Joined
Aug 6, 2025
Posts
28
Reaction score
28
Ni wazi kabisa, mtu wa kwanza kulalamikia Muungano ni raisi wa kwanza wa Zanzibar. Kifo chake kilihitimisha matumaini ya Wazanzibari kuvunja muungano na kupata uhuru wa kweli

Muungano umekuwa ukilalamikiwa tokea kipindi hicho hadi leo

Waliyopitia Wazanzibari wakati wa uchaguzi na maandamano ya kudai haki ni mara sabini ya waliyowapata watanganyika

Watu walipigwa na kuzamishwa baharini walipojaribu kukimbia machafuko.
Sisi Wazanzibari tunaomba muandamane, mupigwe, mufe hadi muungano uvunjwe na sisi tutuliye na Mwinyi wetu.
Zanzibar hatuna tatizo na CCM, Samia wala mwinyi. Tunachotaka ni uhuru wa kweli.
 
Hivi Zanzibar bandari zimeuzwa? Kuna rasilimali gani ya huko imeuzwa?

Mliwahi kuuliwa wato zaidi ya 20K huko ndani ya siku tatu? Hata ukizingatia uwiano watu bado hii ya Tanganyila ni mbaya.
 
Kwani tanganyika kuna bandari ilouzwa?.. kabla ya dp world palikua na ticts, ilikua imeuzwa kwa ticts pia hiyo miaka 25?
 
Ni wazi kabisa, mtu wa kwanza kulalamikia Muungano ni raisi wa kwanza wa Zanzibar. Kifo chake kilihitimisha matumaini ya Wazanzibari kuvunja muungano na kupata uhuru wa kweli

Muungano umekuwa ukilalamikiwa tokea kipindi hicho hadi leo

Waliyopitia Wazanzibari wakati wa uchaguzi na maandamano ya kudai haki ni mara sabini ya waliyowapata watanganyika

Watu walipigwa na kuzamishwa baharini walipojaribu kukimbia machafuko.
Sisi Wazanzibari tunaomba muandamane, mupigwe, mufe hadi muungano uvunjwe na sisi tutuliye na Mwinyi wetu.
Zanzibar hatuna tatizo na CCM, Samia wala mwinyi. Tunachotaka ni uhuru wa kweli.
Kumbe CCM ni katili tangu zamani
 
Back
Top Bottom