Asante lakini kumbuka aliyelala ukimwamsha usije lala wewe sasa!!!!!!Nyie Watanganyika miaka yote mulikuwa mumelala fofofo sisi Wazanzibari tulikuwa na mpaka leo tunakupiganieni irejeshwe Tanganyika yenu iliyojificha ndani ya Tanzania ikawa wengi wenu munatuona wabaya kwa kusema Tanganyika imekufa. Mpaka leo mzee Warioba kakuamsheni kwenye huo usingizi ndio sasa munaanza kuipenda na kuitaka tena Tanganyika. Wanasiasa kina Nyerere ndio waliokupotezeni. Wazanzibari tuko pamoja na nyie katika kudai nchi yenu Tanganyika. All the best
Usiseme hivyo...tema mate chini....hilo ni Tanga(N'tanga ni samaki mwenye akili sana na hakamatwi kirahisi maana huruka juu kukwepa nyavu za wavuvi. )....Nyika(Nyika ni samaki wa ajabu sana, yeye anatoa 'umeme', ukimshika anapiga 'shoti'.) Kwa maneno mengine Tanga inawakilisha pwani na Nyika inawakilisha pori soma maana ya Neno hili na uzuri wakeWatanganyika ni wengi kwenye bunge la katiba??? Jina la hovyo kabisa eti Tanganyika!
Hahahaaaaa umetisha sasa Muungano ni akina nani mkuu na sisi watanganyika si tupo?
...mkuu tumetukanwa na kunyanyaswa sana kwenye muungano kana kwamba tanganyka hatuna uwezo bila zanzibar, kwaiyo sisi kwanza muungano na visiwani baadae, wimbo wetu,benki kuu yetu,...
Nisaidieni hapa kidogo,
Mie mkulima nitafaidikaje na hii kitu?
Nisije kusheherekea halafu kesho mkaanza kutunyang'anya hata
hivi vijishamba vyetu.