Uliza_Bei
JF-Expert Member
- Feb 17, 2011
- 3,216
- 990
- Thread starter
- #61
Asante lakini kumbuka aliyelala ukimwamsha usije lala wewe sasa!!!!!!Nyie Watanganyika miaka yote mulikuwa mumelala fofofo sisi Wazanzibari tulikuwa na mpaka leo tunakupiganieni irejeshwe Tanganyika yenu iliyojificha ndani ya Tanzania ikawa wengi wenu munatuona wabaya kwa kusema Tanganyika imekufa. Mpaka leo mzee Warioba kakuamsheni kwenye huo usingizi ndio sasa munaanza kuipenda na kuitaka tena Tanganyika. Wanasiasa kina Nyerere ndio waliokupotezeni. Wazanzibari tuko pamoja na nyie katika kudai nchi yenu Tanganyika. All the best