TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

Inauma sana kuachwa ni bora kuacha. Mimi huwa nikiona nakaribia kuachwa basi najitahidi kuwahi kumuacha ili nisiumie sana.
Ukiacha wewe ndo hapatauma? Maana unakuwa umeacha sio kwa kuwa humtaki mtu ila umejiwahisha, mimi naona hapa maumivu yake ni yaleyale kama ya kuachwa
 
Kukubaliana?? Aiseey .
Hivi unaweza kukubaliana kuachana na mtu ambaye ni furaha yako?? Mkuu mapenzi yalishachuja au labda mlikuwa na mutual agreement before.. Unless otherwise ngumu kumeza.
Heeeeehh, Easy come, easy go!!
Mapenzi yalishaisha huwezi kukubali kumwacha mtu unayempenda kirahisi namna hii.
Sijataka kutoa maoni ila unaniwakilisha vema, unasema kile ninachokifikiria
 
Kukubaliana?? Aiseey .
Hivi unaweza kukubaliana kuachana na mtu ambaye ni furaha yako?? Mkuu mapenzi yalishachuja au labda mlikuwa na mutual agreement before.. Unless otherwise ngumu kumeza.
Mengine hatuwezi kusema hapa
 
nikikuwa nataka niwe kama braza Mshana Jr !!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…