TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

Kukubaliana?? Aiseey .
Hivi unaweza kukubaliana kuachana na mtu ambaye ni furaha yako?? Mkuu mapenzi yalishachuja au labda mlikuwa na mutual agreement before.. Unless otherwise ngumu kumeza.
Heeeeehh, Easy come, easy go!!
Mapenzi yalishaisha huwezi kukubali kumwacha mtu unayempenda kirahisi namna hii.
Sijataka kutoa maoni ila unaniwakilisha vema, unasema kile ninachokifikiria
 
Kukubaliana?? Aiseey .
Hivi unaweza kukubaliana kuachana na mtu ambaye ni furaha yako?? Mkuu mapenzi yalishachuja au labda mlikuwa na mutual agreement before.. Unless otherwise ngumu kumeza.
Mengine hatuwezi kusema hapa
 
...........alichokihitaji mm niwe na Kazi nzuri inayoniingizia mshahara niwe katika mazingira ya kujiendesha siyo kutegemea mwanamme .
Baada ya kukamilisha yote hayo kwangu ndio akaniambia amefurahi kuona najiweza kimaisha ndo alichopanga kunifanyiaa hicho.
nikikuwa nataka niwe kama braza Mshana Jr !!!!!
 
Back
Top Bottom