Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kufanya hivyo Mungu hapendi
Sawa mtani, ila asilimia kubwa ya watuhumiwa hukana mashtaka yao hata kama alifanya kosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]siwezi kufanya hivyo Mungu hapendi
Kukubaliana?? Aiseey .Tumekubaliana iwe hivyo mwisho wa mapenzi sio mwanzo wa uadui
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣apa kinatafutwa kichwa kidangwe kwenye hizi siku kuu.wanawake wa bongo wana mbinu kuliko fbi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]"Maana sikukuu zimekaribia" lemme agree with yuuu!!
Na January ada za watoto shule[emoji23][emoji23]
[emoji87][emoji87][emoji87]Sasa je si yupo single kama ww umeshindwa kula mzigo nkusaidiaje
Hahahhaha Mbona kushushana [emoji523][emoji523][emoji523][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hicho kiebrania cha kalumanzila unafikiri kuna kuachika hapo, sana sana wanatafuta mtu ajilengeshe wamfungie mwaka kwa kumteremsha b*sha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahhaha Mbona kushushana [emoji523][emoji523][emoji523]
Ukiacha wewe ndo hapatauma? Maana unakuwa umeacha sio kwa kuwa humtaki mtu ila umejiwahisha, mimi naona hapa maumivu yake ni yaleyale kama ya kuachwaInauma sana kuachwa ni bora kuacha. Mimi huwa nikiona nakaribia kuachwa basi najitahidi kuwahi kumuacha ili nisiumie sana.
Kukubaliana?? Aiseey .
Hivi unaweza kukubaliana kuachana na mtu ambaye ni furaha yako?? Mkuu mapenzi yalishachuja au labda mlikuwa na mutual agreement before.. Unless otherwise ngumu kumeza.
Sijataka kutoa maoni ila unaniwakilisha vema, unasema kile ninachokifikiriaHeeeeehh, Easy come, easy go!!
Mapenzi yalishaisha huwezi kukubali kumwacha mtu unayempenda kirahisi namna hii.
Kwa mitego hata FBI hawakufikiiNjoo platinum hapaa mapingaa mm jaman uwiiii nafwaaaaa
Ow, nitakuwakilisha hadi kimataifa[emoji8]Sijataka kutoa maoni ila unaniwakilisha vema, unasema kile ninachokifikiria
Sawa mdogo akeOw, nitakuwakilisha hadi kimataifa[emoji8]
Nawewe ndiyo unafanyaga hivyo mkuu??[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akili kumkichwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawewe ndiyo unafanyaga hivyo mkuu??
Una experience[emoji23]
Mengine hatuwezi kusema hapaKukubaliana?? Aiseey .
Hivi unaweza kukubaliana kuachana na mtu ambaye ni furaha yako?? Mkuu mapenzi yalishachuja au labda mlikuwa na mutual agreement before.. Unless otherwise ngumu kumeza.
nikikuwa nataka niwe kama braza Mshana Jr !!!!!...........alichokihitaji mm niwe na Kazi nzuri inayoniingizia mshahara niwe katika mazingira ya kujiendesha siyo kutegemea mwanamme .
Baada ya kukamilisha yote hayo kwangu ndio akaniambia amefurahi kuona najiweza kimaisha ndo alichopanga kunifanyiaa hicho.