TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

Ww demiss unaachika kweli unashusba gazeti humuπŸ˜‚πŸ˜‚..siamini..na kwann mmejiweka public hivyo kuachana kwenu?haha we na mshana wale wale tu..lol..ss kwann umeandika uzi? ila kuachwa kunaumaaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole dogo..

bado zamu zetu😩😩 tuachike tupaukianeee😀...mm itakua naachika 2nd tym🍻🍻🍻
 

Acha waachane tu wengine wapokee vijiti
 
Daah ulikuwa unamfuatiliaaa
 
Acha waachane tu wengine wapokee vijiti

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ demmis alikua mtoto.sana huenda kwa mshana..mayb nawaza tu...wakati demiss anawaza bata mshana anawaza maendeleo lol...ila raha sana kuwa na mtu mzima ht ukikosea hAcharuki kiviileee anaumia tu moyoniπŸ˜›πŸ˜› ss uwe na age mate yakoπŸ˜‚πŸ˜‚madongo kila siku gubu tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…