Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
mie mwenyew mate yamejaa akili imejivuruga kbsNirushie msimbazi nikusindikize na savanna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mie mwenyew mate yamejaa akili imejivuruga kbsNirushie msimbazi nikusindikize na savanna
Basi tulia, huyu tunajuana !!! Unless km unataka nikujibu.Niungane na nani mie
Mapenzi ya wawili yanichoshe kuandika gazeti?
Hapana hiyo nguvu bora niitumie kutafuna gums
mie mwenyew mate yamejaa akili imejivuruga kbs
Hama gut ya kukujibu ..ilo ni swali gumu ukitegemea jibu jepesiHivi uhusiano wenu umedumu kwa muda gani?
Hapa naelekea ka bar ka jirani
Fursa kwangu hii.
Neema niliyoisubiri kwa muda mrefu hatimaye imewadia
[emoji23][emoji23][emoji23]hahahahaa.....! kajua kunivuruga..lazima nidrop JTI
Ww demiss unaachika kweli unashusba gazeti humu[emoji23][emoji23]..siamini..na kwann mmejiweka public hivyo kuachana kwenu?haha we na mshana wale wale tu..lol..ss kwann umeandika uzi? ila kuachwa kunaumaaa[emoji23][emoji23][emoji23] pole dogo..
bado zamu zetu[emoji30][emoji30] tuachike tupaukianeee[emoji36]...mm itakua naachika 2nd tym[emoji482][emoji482][emoji482]
Daah ulikuwa unamfuatiliaaaIli nililijua toka awali,,toka ile siku ulivyofunga profile ako kiasi kwamba, ukabakisha ID name, na mwaka uliojiunga ..... Hapo ndio nilipojua Umeshaachwa kitambo , so umeamua kukwepa aibu ya "Location 'kwa mshana"......
Pole sana bidada !!!
Ingawa umejitahidi sana kujipa moyo.
Ila ukweli , limekuumiza.
Limekuumiza sababu. Unajua fika, jamaa ataendelea kusasambua bidada mwingine humu alafu wee umeachwa.
Kuachana ni kuachana tu , hainaga cha kuachana vibaya au kuachana vibaya.
Nashangaa, kwann Unaona umeumia. wakat Life style yako humu JF haikusapot wewe kua na Mwanaume ulompata humu wa Maisha ??? . Yaaan Style yako ni ya " mpenzi wa kusaidiana tu".....Kwann umeumia????
Au ndo ile, ktk mabuzi, kuna buzi linahonga alafu linakukaza kwelikweli???
Kaka Mshana Jr. , mrudie huyu mtoto , atapatwa na presha buree mwisho abadili ID!!
Mimi ni mmoja ya watu ambao tukiachana sina tena time na wewe..You are a true definition of maturity..midume mingine mkiachana ndo inakua maadui eti ata salamu shida
Acha waachane tu wengine wapokee vijiti
😍Enjoy