TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

TANGAZO: Demiss nimepewa Talaka 3 rasmi Leo!

Ww demiss unaachika kweli unashusba gazeti humu😂😂..siamini..na kwann mmejiweka public hivyo kuachana kwenu?haha we na mshana wale wale tu..lol..ss kwann umeandika uzi? ila kuachwa kunaumaaa😂😂😂 pole dogo..

bado zamu zetu😩😩 tuachike tupaukianeee😤...mm itakua naachika 2nd tym🍻🍻🍻
 
Ww demiss unaachika kweli unashusba gazeti humu[emoji23][emoji23]..siamini..na kwann mmejiweka public hivyo kuachana kwenu?haha we na mshana wale wale tu..lol..ss kwann umeandika uzi? ila kuachwa kunaumaaa[emoji23][emoji23][emoji23] pole dogo..

bado zamu zetu[emoji30][emoji30] tuachike tupaukianeee[emoji36]...mm itakua naachika 2nd tym[emoji482][emoji482][emoji482]

Acha waachane tu wengine wapokee vijiti
 
Ili nililijua toka awali,,toka ile siku ulivyofunga profile ako kiasi kwamba, ukabakisha ID name, na mwaka uliojiunga ..... Hapo ndio nilipojua Umeshaachwa kitambo , so umeamua kukwepa aibu ya "Location 'kwa mshana"......

Pole sana bidada !!!

Ingawa umejitahidi sana kujipa moyo.

Ila ukweli , limekuumiza.

Limekuumiza sababu. Unajua fika, jamaa ataendelea kusasambua bidada mwingine humu alafu wee umeachwa.

Kuachana ni kuachana tu , hainaga cha kuachana vibaya au kuachana vibaya.



Nashangaa, kwann Unaona umeumia. wakat Life style yako humu JF haikusapot wewe kua na Mwanaume ulompata humu wa Maisha ??? . Yaaan Style yako ni ya " mpenzi wa kusaidiana tu".....Kwann umeumia????

Au ndo ile, ktk mabuzi, kuna buzi linahonga alafu linakukaza kwelikweli???




Kaka Mshana Jr. , mrudie huyu mtoto , atapatwa na presha buree mwisho abadili ID!!
Daah ulikuwa unamfuatiliaaa
 
Acha waachane tu wengine wapokee vijiti

😂😂😂 demmis alikua mtoto.sana huenda kwa mshana..mayb nawaza tu...wakati demiss anawaza bata mshana anawaza maendeleo lol...ila raha sana kuwa na mtu mzima ht ukikosea hAcharuki kiviileee anaumia tu moyoni😛😛 ss uwe na age mate yako😂😂madongo kila siku gubu tu..
 
Back
Top Bottom