GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Wototo kulee>>
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Same same my love...Ow!! Thanks
A Merry Christmas to you Sis.
Unajilengesha kwa mshana
You are a true definition of maturity..midume mingine mkiachana ndo inakua maadui eti ata salamu shida
Demiss kumbe ni m cute kiasi hikiiii [emoji8][emoji8][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jifanye kama unajikunaDada mpaka wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unastahili[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wewe ndio umeniacha...
KhaaaaWewe ndio umeniacha...
Mmh jana tu nimekysikia umesema umeolewa. Duh kweli pole na hongera.Wale wa kushangilia Demiss kupewa talaka semaa oyooooooooo!
Kuanzia leo mm siyo mke wa mtu nipo single kuendesha gurudumu la maishaa.
Sijaachana kwa ubaya na kalumanzila ila alichokihitaji mm niwe na Kazi nzuri inayoniingizia mshahara niwe katika mazingira ya kujiendesha siyo kutegemea mwanamme .
Baada ya kukamilisha yote hayo kwangu ndio akaniambia amefurahi kuona najiweza kimaisha ndo alichopanga kunifanyiaa hicho.
Inaniuma lakini hakuna namna jamani inaumaaa Demiss miyeee sijui nilie kichagaa ila ngoja nivumilie.
Wale waliokuwa hawapendi mahusiano yangu leo watakunywa biaaa wengine watanyaaaa kwa suruali pooh
Na ndo nimeshaachika sasa nitafanyaje sasa jamani khaaa .
Ila mimi siyo wa kwanzaa jamani ila kwa kuwa ni Demiss naonekana wa ajabuu ila sawa tu nakubali mapovu yoteeeeew.
Nyongeza:
Sitaki maswali jamani mtaniumiza rohoo hata mm nina moyoo sina chumaa.
Iiiih nalia mm jamani naliiiiaaaa iiiiih msione naandika hivi nimejikaza kisabuni iiiiiii jamani iiiiiiih uuuuuuuh jamani mm Demiss nitaringa wapi mm eeeeeeeh iiiiiii
Location: Platnum Mapinga. View attachment 975950
Jibu kutoka kwa mshana:::::
From the moment I knew you till we came end of our road, you have been a wonderful woman, a best friend and unique lover   
Nothing last forever, we came to this end with mutual respect and understanding... We were friends, then we become lovers... Now we can still be friends...
We had wonderful moments I will never forget them and I will always honor them with undeleted memories....
Zijapopita siku za furaha tusihuzunike bali tufurahi kwakuwa zilikuwako.... [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Umeniacha kimyakimyaKhaaaa
Hivi nishakuacha eehh... Mbona sioni uzi wa kuachana na wewe jamani
Acha ufala we muathuUnastahili[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hahaha hahaha hahahaUmeniacha kimyakimya
AiseeeehFursa kwangu hii.
Neema niliyoisubiri kwa muda mrefu hatimaye imewadia
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aiseeeeh