INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

James Hadley Chase

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
1,984
Reaction score
3,695
SIFA ZA KING'AMUZI CHA CANAL+

1. Bei ya decorder pekee ni Tsh 130,000/=, bei ya decorder na dish(complete) ni Tsh 165,000/=.
Vyote hivi vitakuwa na kifurushi cha Tsh 40,000/= kwa mwezi mmoja bure.

2. Kupitia hicho kifurushi cha kuanzia utafanikiwa kuangalia mechi za ligi zote kuanzia EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga, Ligue 1, UEFA Champions League, EUROPE League, World Cup, CHAN, CAF Champions League na CAF Confederation Cup

3. Bei ya kifurushi kwa mwezi ni Tsh 37,000/= unapata baadhi ya channel za michezo au Tsh 40,000/= ambacho kinakupa ligi zote zilizotajwa hapo juu.

4. Lugha ni Kifaransa pekee.


Pata king'amuzi chako ufurahie uhondo huu.

Tupo Kigoma na popote ndani ya Tanzania tunakuagizia kwa uaminifu mkubwa.
@canalplus_tanzania #CanalPlus
Mawasiliano 0629439450, 0655229897
WhatsApp +257 72328243

IMG_20220412_194128_1.jpg
 
Canal inafaa mpira tu saaa km hujui kifaransa utakichukia

DStv ni mwisho wa matatizo ni vile wanabinywa sana kwenye kodi
 
Canal+ mikoani watu wanaitumia sn...not sure hizo decider zako but zinatakiwa kua na lugha zote labda km bado hamjajua jinsi ya kubadili lugha ilahio option inatakiwa kuwepo
 
Sijui mlikuwaga wapi 2021 niliwatafuta sana bila mafanikio hatimae nikaangukia kwa wakala wa dsm nalipia 45,000 kwa mwezi na dikoda nilinunua 200,000
 
Back
Top Bottom