INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

INAUZWA Tangazo kwa wanaohitaji visimbuzi vya Canal+ Sports

Hapo unaposema bei ya bila dish maana yake unaweza ukatumia dish jingine lolote au ni wale wenye madish yaliyoharibika visimbuzi?
Hv ving'amuz wengi wanaviuza bila madishi nazan wanaogopa serikali inawezekana wapo kimagumashi,dikoda yao inapendelea yale madishi mapana kama la dstv,ukiwa na dish pana hata fundi ahangaiki sana kupata signal zao
 
Kwa anaye hitaji king'amuzi cha Cannal Plus
Tsh.150,000 ina offer ya mwezi mmoja
Kulipia ni kwangu mwenyewe ni bila shida yeyote

Mawasiliano simu:0712-430 116

Na kwasasa tutaonesha world Cup mechi zote
IMG_0682.jpg

25a8e7f3-5abd-49f4-a474-6970f84cd3bb.jpg
 
Changamoto ni njia ya ulioaji tu ingekuwa wana option ya visa au kwenye mpesa wangekuwa kwenye list
 
Kwa anaye hitaji king'amuzi cha Cannal Plus
Tsh.150,000 ina offer ya mwezi mmoja
Kulipia ni kwangu mwenyewe ni bila shida yeyote

Mawasiliano simu:0712-430 116

Na kwasasa tutaonesha world Cup mechi zote
View attachment 2421803
View attachment 2421805
Habari mkuu,hivi hii canal plus wao hawana chanel zaidi ya mpira? hakuna chanel za lifestyle? movie? wanyama? na channel zetu za kibongo zinapatikana au?
 
Habari mkuu,hivi hii canal plus wao hawana chanel zaidi ya mpira? hakuna chanel za lifestyle? movie? wanyama? na channel zetu za kibongo zinapatikana au?

Zipo channel zingine za movie za cartoon serias za wanyama za miziki
 
zipo kwa lugha gani hizo chanel nyingine? Na je nikitaka kuona na chanel za nyumban inawezekana?

Lugha zote ni kifaransa na baadhi zinaongea kirundi
Channel za nyumbani hakuna
Channel tatu ndio zinazoonesha kwa lugha ya kingereza
433
434
435
Na pia hizo ndio zinazo onesha world Cup
 
Back
Top Bottom