Me pia nmeona mtu ameweza kubadili to english sa najiuliza au inategemea na aina ya tv?Canal+ mikoani watu wanaitumia sn...not sure hizo decider zako but zinatakiwa kua na lugha zote labda km bado hamjajua jinsi ya kubadili lugha ilahio option inatakiwa kuwepo
Matangazo ya mpira? Sidhani. Ila kama ni movie sawa inawezekanaNmeona kuna mtu amechange lugha kabisa to english,au inategemea na aina ya tv???
Ilkua movie,sa why mpira ishindikane jmnMatangazo ya mpira? Sidhani. Ila kama ni movie sawa inawezekana
Vigezo na masharti kuzingatiwaIlkua movie,sa why mpira ishindikane jmn
Sio kesi btw mpira unaweza watch kwa lugha yyt ile japo english ina utam wakeVigezo na masharti kuzingatiwa
TuelekezwniHuyo haijui Canal anabwabwaja tu.
YesssStill active?
0769983310Still active?
0767080162Kwa anaye hitaji king'amuzi cha Cannal Plus
Tsh.150,000 ina offer ya mwezi mmoja
Kulipia ni kwangu mwenyewe ni bila shida yeyote
Mawasiliano simu:0712-430 116
Na kwasasa tutaonesha world Cup mechi zote
View attachment 2421803
View attachment 2421805
Kwa mwez malipo shingp0767080162
Mwezi malipo shiling ngapi?0767080162
Si kweli. Huyo aliongeza x-tra. Ni package ya kingelezaMe pia nmeona mtu ameweza kubadili to english sa najiuliza au inategemea na aina ya tv?
I WILL GET BACK TO YOU AS SOON AS POSSIBLE.SIFA ZA KING'AMUZI CHA CANAL+
1. Bei ya decorder pekee ni Tsh 130,000/=, bei ya decorder na dish(complete) ni Tsh 165,000/=.
Vyote hivi vitakuwa na kifurushi cha Tsh 40,000/= kwa mwezi mmoja bure.
2. Kupitia hicho kifurushi cha kuanzia utafanikiwa kuangalia mechi za ligi zote kuanzia EPL, La Liga, Serie A, Bundesliga, Ligue 1, UEFA Champions League, EUROPE League, World Cup, CHAN, CAF Champions League na CAF Confederation Cup
3. Bei ya kifurushi kwa mwezi ni Tsh 37,000/= unapata baadhi ya channel za michezo au Tsh 40,000/= ambacho kinakupa ligi zote zilizotajwa hapo juu.
4. Lugha ni Kifaransa pekee.
Pata king'amuzi chako ufurahie uhondo huu.
Tupo Kigoma na popote ndani ya Tanzania tunakuagizia kwa uaminifu mkubwa.
@canalplus_tanzania #CanalPlus
Mawasiliano 0629439450, 0655229897
WhatsApp +257 72328243
I WILL GET BACK TO YOU AS SOON AS POSSIBLE