Kaka Mpendwa
JF-Expert Member
- Jan 10, 2008
- 772
- 415
dah! Kamdomo kananicheza hadi ulimi umetoka nje.. Yaani najisikia kuuliza uliza.
usije ukachakachua thread ya watu..hahahah..::focus:
wewe ccr airtel ni customer care, salesperson au mtu wa marketing..au unafanya vyote?
dah! Kamdomo kananicheza hadi ulimi umetoka nje.. Yaani najisikia kuuliza uliza.
dah! Kweli aisee, lithread lisije pelekwa chit chat bure tuanze kulia.
Huyu atakuwa customer care
So air tel modem zake
- zinaatumia teknolojia gani. mara nasikia CDMA mara GSM nyie mko wapi?
- uwezo wake wa ku upploaad na kudowload data ni kiasi gani.
- Ni maeneo gani kwa dar modem zenu zina perfomce nzuri na wapi perfomce yake ni avarage.
- Pia wewe kama mtaalam haya maneno yanachanganya tuambie tofauti ya 2G na 3G na nyie huduma zenu kwa sasa ziko kudni gani kati ya hayo
connection ya airtel inajidisconnect mara kwa mara:ingependeza kutujulisha uko wap na kama kuna error message yoyote unaipata inapo jidisconnect cha kufanya piga namba 100 na utoe taharifa za kutosha kuhusiana na suala hilo ili liweze shughulikiwa...
Kuhusu speed kupungua moja kwa moja ina mahusiano makubwa na hizo disconnection kwa hakika tatizo la kwanza likishughulikiwa na la pili litakua limekwisha cha kufanya fanya kama nilivyokushauri...afu hatuibi ndugu yangu punguza ukali wa maneno
Kuanzia leo nitakua hapa kama muwakilishi wa kujitolea wa airtel so kama una tatizo lolote kuhusiana na line yako,na matumizi ya mtandao wa airtel kwa ujumla tafadhali jiskie HURU...i'M HERE FOR YOU
Mkuu, ili tatizo la kujidisconnect ni la mda mrefu sana, pia lina wakumba karibia wateja wote wa Airtel pasipo kuangalia wapo eneo gani... Hiyo namba 100 ni kitendawili mkuu unaweza kukaa dakika 30 hewani kukisubiri kuunganishwa na mtoa huduma, yaani hi kero tupu uwezi kupata msaada kwa njia hiyo na hata ukipolekewa utakaye kujibu anaweza asikusaidia kwa kushindwa kuelewa tatizo lako kutokana na kutokuwa mataalamu wa jambo usika...
Siyo ukali wa maneno mkuu huo ndio ukweli wenyewe mkuu, uliza hapa karibu wateja wenu wengi wamekumbana na tatizo ilo la kuchukuliwa package zao.... Tembelea hii topic hapa ujionee mwenyewe https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/119663-airtel-internet.html
alafu mi natatzo moja mbona kwenye cm nyie hamu-upload mnadownload 2 sas ndo nin maana nashindwa ku-upload v2 mpka niend kenye computa so utanisdiaje kwa hlo...
unamaanisha kufanya "saiknronaization"? Kwa sasa sidhan kama kuna kampuni inayotoa hii huduma lakini unaweza kutafuta special softwares kwa ajili yakuhifadhi taharifa zako online...njianyingine rahisi ni kuhifadhi information zako muhimu katika email yako...utatengeza special folder pale kisha unaziweka
kuapload file kwenye facebook tumia browser usitumie operamin,Kama simu yako haina browser basi jaribu kutuma kwa kutumia ile email wanayokupa kwa ajili ya kutuma files.
poa kama vp wape ripoti kuhusu hli suala wengne cm zetu hazina browser mnakuwa mnatupa kazi ya ziada kwa tunaotumia simu kama nokia 6300.