tangazo kwenu ndugu wadau

tangazo kwenu ndugu wadau

dah! Kamdomo kananicheza hadi ulimi umetoka nje.. Yaani najisikia kuuliza uliza.

usije ukachakachua thread ya watu..hahahah..::focus:

wewe ccr airtel ni customer care, salesperson au mtu wa marketing..au unafanya vyote?
 
usije ukachakachua thread ya watu..hahahah..::focus:

wewe ccr airtel ni customer care, salesperson au mtu wa marketing..au unafanya vyote?

dah! Kweli aisee, lithread lisije pelekwa chit chat bure tuanze kulia.
Huyu atakuwa customer care
 
dah! Kamdomo kananicheza hadi ulimi umetoka nje.. Yaani najisikia kuuliza uliza.

So air tel modem zake

  • zinaatumia teknolojia gani. mara nasikia CDMA mara GSM nyie mko wapi?
  • uwezo wake wa ku upploaad na kudowload data ni kiasi gani.
  • Ni maeneo gani kwa dar modem zenu zina perfomce nzuri na wapi perfomce yake ni avarage.
  • Pia wewe kama mtaalam haya maneno yanachanganya tuambie tofauti ya 2G na 3G na nyie huduma zenu kwa sasa ziko kudni gani kati ya hayo
 
dah! Kweli aisee, lithread lisije pelekwa chit chat bure tuanze kulia.
Huyu atakuwa customer care

Ndo huyo huyo customer care husninho,na line yako ukishanunua wala usiitupe mwaya kuna miofa kibao inakuja my dear,tena ukishanunua tu uisajili mama...
 
So air tel modem zake

  • zinaatumia teknolojia gani. mara nasikia CDMA mara GSM nyie mko wapi?
  • uwezo wake wa ku upploaad na kudowload data ni kiasi gani.
  • Ni maeneo gani kwa dar modem zenu zina perfomce nzuri na wapi perfomce yake ni avarage.
  • Pia wewe kama mtaalam haya maneno yanachanganya tuambie tofauti ya 2G na 3G na nyie huduma zenu kwa sasa ziko kudni gani kati ya hayo

kaka zing
-modem zetu zinatumia latest technology kabisa HSDPA hiyo gsm naweza kusema ndiyo oldest kabisa kitu unachotakiwa kufahamu ni kwamba modem tukiongelea modem zina uwezo mkubwa sana wa kusafirisha data mfano hizi za 60000 ni zaidi ya 3mb p/s tatizo mara zote huwa ni kwenye mtandao unatoa speed gani? Mara nyingi mitandao inacheza kwenye 2.8 kbps... Kwa sasa airtel ndo mtandao unaotoa speed kubwa kuliko mitandao yote tanzania...so suala haliko kwenye modem bali mtandao wa kutumia...maeneo yenye perfomance nzuri ni mengi kwa kweli kuyataja hapa sintoyamaliza...2G ni kizazi cha technologia ambacho baada yake ndiyo ikaja 3G tena kuna 3.5G na kabla ya 2G kuna EDGE,GPRS then GSM na baada ya 3G ndo inaendelea CDMA na HSDPA so hivyo ni vizazi tu vya technologia kila kimoja kikiwa advanced zaidi ya kingine
 
Kwa nini connection ya Airtel ina ji-disconnet yenyewe mara kwa mara, tatizo ni nini hasa?

Airtel imekuwa na mtingo wa kutuibia package zetu mara kwa mara,ni mara moja tu wamewahi kunirudishia package yangu tena ni baada ya kulalamika sana je ndio mpango wenu huu wakuibia wateja kwa mtindo huu?

Kwa nini mtandao wenu speed yake ya internet imeshuka sana? Mwanzo tulikuwa tunapata 2.5mbps kwenye 3G kwa ssa tunapata 700kbps kwa 3G. Tena hiyo 700kbps imejitahidi sana.
 
connection ya airtel inajidisconnect mara kwa mara:ingependeza kutujulisha uko wap na kama kuna error message yoyote unaipata inapo jidisconnect cha kufanya piga namba 100 na utoe taharifa za kutosha kuhusiana na suala hilo ili liweze shughulikiwa...

Kuhusu speed kupungua moja kwa moja ina mahusiano makubwa na hizo disconnection kwa hakika tatizo la kwanza likishughulikiwa na la pili litakua limekwisha cha kufanya fanya kama nilivyokushauri...afu hatuibi ndugu yangu punguza ukali wa maneno
 
Karibu sana Mkuu..... Ni mfano mzuri wa Product/Service Providers Wengine,
Nadhani kupitia mfano wako watajitokeza wengine!!!!
Je Unaweza kunielekeza Namna ya ku-configure Internet kwenye Simu (Inasupport GPRS) Nitapenda ikiwa utaweka procedures (A-Z)

Again Karibu sana.....
 
thanks very much babaubaya...hapo bila shaka cha muhimu tu kunijulisha ni simu ya aina gani na model gan mfano nokia 9300 then nitakupatia maelekezo ya kutosha kabisa.kitu kingine cha kufahamu ni kwamba line unayotumia kama ni mpya nayo pia inatakiwa kuunganishwa na mfumo wa internet fanya hivyo kwa kutuma neno internet kwenda namba 232,ikitokea hujapata majibu yoyote basi piga simu namba 100 na uwaambie wakuunganishe moja kwa moja line yako katika huduma ya gprs baada ya hapo sasa itakua ni wewe na vidole vyako mkuu...
 
connection ya airtel inajidisconnect mara kwa mara:ingependeza kutujulisha uko wap na kama kuna error message yoyote unaipata inapo jidisconnect cha kufanya piga namba 100 na utoe taharifa za kutosha kuhusiana na suala hilo ili liweze shughulikiwa...

Kuhusu speed kupungua moja kwa moja ina mahusiano makubwa na hizo disconnection kwa hakika tatizo la kwanza likishughulikiwa na la pili litakua limekwisha cha kufanya fanya kama nilivyokushauri...afu hatuibi ndugu yangu punguza ukali wa maneno

Mkuu, ili tatizo la kujidisconnect ni la mda mrefu sana, pia lina wakumba karibia wateja wote wa Airtel pasipo kuangalia wapo eneo gani... Hiyo namba 100 ni kitendawili mkuu unaweza kukaa dakika 30 hewani kukisubiri kuunganishwa na mtoa huduma, yaani hi kero tupu uwezi kupata msaada kwa njia hiyo na hata ukipolekewa utakaye kujibu anaweza asikusaidia kwa kushindwa kuelewa tatizo lako kutokana na kutokuwa mataalamu wa jambo usika...

Siyo ukali wa maneno mkuu huo ndio ukweli wenyewe mkuu, uliza hapa karibu wateja wenu wengi wamekumbana na tatizo ilo la kuchukuliwa package zao.... Tembelea hii topic hapa ujionee mwenyewe https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/119663-airtel-internet.html
 
Kuanzia leo nitakua hapa kama muwakilishi wa kujitolea wa airtel so kama una tatizo lolote kuhusiana na line yako,na matumizi ya mtandao wa airtel kwa ujumla tafadhali jiskie HURU...i'M HERE FOR YOU

alafu mi natatzo moja mbona kwenye cm nyie hamu-upload mnadownload 2 sas ndo nin maana nashindwa ku-upload v2 mpka niend kenye computa so utanisdiaje kwa hlo...
 
Mkuu, ili tatizo la kujidisconnect ni la mda mrefu sana, pia lina wakumba karibia wateja wote wa Airtel pasipo kuangalia wapo eneo gani... Hiyo namba 100 ni kitendawili mkuu unaweza kukaa dakika 30 hewani kukisubiri kuunganishwa na mtoa huduma, yaani hi kero tupu uwezi kupata msaada kwa njia hiyo na hata ukipolekewa utakaye kujibu anaweza asikusaidia kwa kushindwa kuelewa tatizo lako kutokana na kutokuwa mataalamu wa jambo usika...

Siyo ukali wa maneno mkuu huo ndio ukweli wenyewe mkuu, uliza hapa karibu wateja wenu wengi wamekumbana na tatizo ilo la kuchukuliwa package zao.... Tembelea hii topic hapa ujionee mwenyewe https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/119663-airtel-internet.html

unapokua umekatwa kifurushi tunategema utupe taharifa ili uweze kuwa refunded
Namba 100 wanaopiga simu ni wateja wengi sana ndio maana kuipata inakua ngumu...ila kampuni inafanyajitihada za kuongeza watoa huduma ili kukabiliana natatizo hili
naendelea kusisitiza wasiliana nasi kuhusiana na makato ya kimakosa yaliyofanyika katika simu yako
kumbuka tupo kwa ajili yako mkuu...na bila wewe sisi si kitu,tunategemea pia ushirikiano wako na imani yako ili kwa pamoja tuweze kutimiza malengo yetu

ushauri:kutokana nauzoefu wangu,ukipiga simu kuanzia saa tano usiku au hasubuhi na mapema wateja ni wachache nani rahisi kumpata mhudumu (huo ni ushauri binafsi tu)
 
alafu mi natatzo moja mbona kwenye cm nyie hamu-upload mnadownload 2 sas ndo nin maana nashindwa ku-upload v2 mpka niend kenye computa so utanisdiaje kwa hlo...

unamaanisha kufanya "saiknronaization"? Kwa sasa sidhan kama kuna kampuni inayotoa hii huduma lakini unaweza kutafuta special softwares kwa ajili yakuhifadhi taharifa zako online...njianyingine rahisi ni kuhifadhi information zako muhimu katika email yako...utatengeza special folder pale kisha unaziweka
 
yaani jamaa anamaanisha kuwa mfano kwny facebook hauwezi ku upload pic.inakuambia file unknwn.
 
kuapload file kwenye facebook tumia browser usitumie operamin,Kama simu yako haina browser basi jaribu kutuma kwa kutumia ile email wanayokupa kwa ajili ya kutuma files.
 
kuapload file kwenye facebook tumia browser usitumie operamin,Kama simu yako haina browser basi jaribu kutuma kwa kutumia ile email wanayokupa kwa ajili ya kutuma files.

poa kama vp wape ripoti kuhusu hli suala wengne cm zetu hazina browser mnakuwa mnatupa kazi ya ziada kwa tunaotumia simu kama nokia 6300.
 
poa kama vp wape ripoti kuhusu hli suala wengne cm zetu hazina browser mnakuwa mnatupa kazi ya ziada kwa tunaotumia simu kama nokia 6300.

ila kweli kijana umeona enhee
 
mimi nina tatizo kwny lyn yang nikiweka kwny modem yang inakuwa na spidi ndogo inasoma 230.4 kbps mwenzang lyn ake inasoma 3.1 mbps nimejaribu kwenda kwa custom care wa airtel wakaifanyia sim swap upya lakini speed imebak ile ile nashindwa ata kufanya mambo yang vzr
 
Ndugu ccr airtel, siku hizi speed ya internet imepungua mno. Na hata inafikia muda inagoma kabisa. Tatizo ni nini hapo mkuu. Wateja tutawakimbia sasa kama msipodumisha huduma zenu
 
Back
Top Bottom