Mkuu, ili tatizo la kujidisconnect ni la mda mrefu sana, pia lina wakumba karibia wateja wote wa Airtel pasipo kuangalia wapo eneo gani... Hiyo namba 100 ni kitendawili mkuu unaweza kukaa dakika 30 hewani kukisubiri kuunganishwa na mtoa huduma, yaani hi kero tupu uwezi kupata msaada kwa njia hiyo na hata ukipolekewa utakaye kujibu anaweza asikusaidia kwa kushindwa kuelewa tatizo lako kutokana na kutokuwa mataalamu wa jambo usika...
Siyo ukali wa maneno mkuu huo ndio ukweli wenyewe mkuu, uliza hapa karibu wateja wenu wengi wamekumbana na tatizo ilo la kuchukuliwa package zao.... Tembelea hii topic hapa ujionee mwenyewe
https://www.jamiiforums.com/technology-and-science-forum/119663-airtel-internet.html