Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mnajadili habar za mishahara 😂😂😂😂😂Atalipwa mshahara wa cheo chake ila salary slip yake itaongezeka posho ya taaluma/professional allowance ambayo jumla itaenda mpaka kwenye mshahara wa Engineers hao wengine