Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Mnajadili habar za mishahara πππππAtalipwa mshahara wa cheo chake ila salary slip yake itaongezeka posho ya taaluma/professional allowance ambayo jumla itaenda mpaka kwenye mshahara wa Engineers hao wengine
Wanafanya malekebishoMbona mfumo wao haufunguki?
Mbona mfumo wao haufunguki?
Yes mimi hapa mkuu, nilibahatisha siku ya pili tarehe 10Jamani kuna mtu amefanikiwa kuaply tayari kweli maana iyo system duuuuh
10 na 11 tulitupia kwa mbinde, since then holah sijui hao ma-IT wa polisi wanakwama wapi kurekebisha systemYes mimi hapa mkuu, nilibahatisha siku ya pili tarehe 10
Wazinguaji sana hao ma IT10 na 11 tulitupia kwa mbinde, since then holah sijui hao ma-IT wa polisi wanakwama wapi kurekebisha system
hongera sana aseee sa iv mambo yamekuwa ya moto sanaYes mimi hapa mkuu, nilibahatisha siku ya pili tarehe 10
hatarihongera sana aseee sa iv mambo yamekuwa ya moto sana
π₯΄π₯΄Dah hadi muda umeisha na sijafanikiwa kutuma na nimekula hasara 10,000
atalπ₯΄π₯΄
Tafta mbanga tu ata bila kutuma maombi unaitwa kwenye kozatal
Muda haujaisha kaka, mwsho ni keshoDah hadi muda umeisha na sijafanikiwa kutuma na nimekula hasara 10,000
Vp stationary wanatumia mitandao mengine au ndo hihi naona na wao wanalalamika wanapokea tu kazi za watu lakini hakuna kitu kinafanyikaJARIBU kwenda stationery
Tafta mbanga tu ata bila kutuma maombi unaitwa kwenye koz