Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

Habari wakuu Mimi Nina certificate ya laboratory technician pia Nina experience ya miaka 3 kuhusu laboratory technician, laboratory analysis, QC,QA pia blending oparetor au syrup oparetor pia naweza kufanya kazi popote pale penye maabara au panapozalishwa bidhaa .yeyote atakaye nisaidia kupata connection ya job nipo tayri kuingia naye mkataba awe anakata 10% ya mshahala wangu ndani ya miezi 12.asanteni
 
Vijana mnaoreport mafunzo Mungu awatangulia mkawe Askari wanaomcha Mungu, na wenye kutenda haki!
 
naona uhamiaji nao wameachia vijana twendeni tukachangamkie uko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…