TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 871
Hata ndani ya Bunge letu kuna watu wa jamii toka nje ya mipaka yetu.
nina wasiwasi huyu jamaa haishi tanzania au aliondoka miaka ya 80....kuna wabunge wahindi/waarabu/wasomali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata ndani ya Bunge letu kuna watu wa jamii toka nje ya mipaka yetu.
![]()
Sijui tatizo ni shule ama ni exposure ama ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi.
Kwa mtu prideful of my race, dignity and country hili duka hata lingekuwa na nguo za watoto nzuri kiasi gani siwezi kumpeleka mtoto wangu humu kamwe, maana akiona haya matangazo ataanza na yeye kutukuza wazungu toka mdogo manake subliminal message hapa ni kwamba huwezi kupendeza unless uwe mzungu. Ndo maana wakaona wakitumia picha za vitoto vi model vya kizungu mali itauzika.
Halafu to top it all off, location ya duka lenyewe, another reason why I would never come close to this store. Barabara tumebadilisha jina from a historic and meaningful Bagamoyo road to Mwai Kibaki, of all the people. Nchi za watu wenye raia walio na uelewa na upeo, li-mayor moja la jiji ambalo kesho kutwa linaondoka kwenye cheo haliwezi likaamka asubuhi ghafla limeshauriwa sijui na nani nyumbani kwake huko likaja likawaambia kuanzia leo jina la huu mtaa ni Yoweri Museveni! Watu watachoma mtaa! Tatizo moja kubwa la Watanzania ni kwamba hatujipendi, hatujithamini, hatujijali na hatufikiri.
Hapo kuna vitoto vya Kichina, Kizungu na vichotara.
Tanzania sio nchi ya Wazungu, Wachina na vichotara, ni nchi ya Wabantu, for the preponderant part.
Kutukuza imagery za kichina na kizungu kwenye advertisement ya nchi ya kibantu ni ulimbukeni uliokithiri.
Tanzania kuna races zote?
Absolutely ridiculous.
Tanzania sio nchi ya race ya Kijapani au ya Kizungu!
Huwezi kwenda China au Uholanzi ukakuta wametangaza nguo za watoto wao kwa imagery za watoto wa Kigogo, never! Ever! It's neeever gonna happen. Lakini watu wa the lowest self esteem kama Watanzania tunatukuza fashion presentations za kigeni. Nadhani huwa wanatucheka sana.

Kwamba nimeondoka Tanzania zamani sana, miaka ya 80, kiasi kwamba race ya Watanzania imebadilika mimi sijui kwa sababu kumekuwa na influx ya Wahindi, Wachina na machotara. How preposterous! You are the most clueless person in the world when it comes to demographic changes kwa kudhani race ya Watanzania imebadilika kwa vile kuna mbunge msomali na mhindi!nina wasiwasi huyu jamaa haishi tanzania au aliondoka miaka ya 80....kuna wabunge wahindi/waarabu/wasomali
Kwani "kuchanganya kizungu" ndio kuelimika? Huo nao ni ulimbukeni mwingine, suala hapa sio lugha, bali ni kwamba tangazo hili la kilimbukeni limeshindwa kujaribu kuvutia watoto wa Kitanzania katika marketplace ya Tanzania ya watu weusi.Halafu unaponda wakati naona post yako unachanganya na "kizungu" sijui uonekane umeelimika kuliko mtengeneza tangazo hilo...teh teh!
![]()
Sijui tatizo ni shule ama ni exposure ama ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi.
Kwa mtu prideful of my race, dignity and country hili duka hata lingekuwa na nguo za watoto nzuri kiasi gani siwezi kumpeleka mtoto wangu humu kamwe, maana akiona haya matangazo ataanza na yeye kutukuza wazungu toka mdogo manake subliminal message hapa ni kwamba huwezi kupendeza unless uwe mzungu. Ndo maana wakaona wakitumia picha za vitoto vi model vya kizungu mali itauzika.
Halafu to top it all off, location ya duka lenyewe, another reason why I would never come close to this store. Barabara tumebadilisha jina from a historic and meaningful Bagamoyo road to Mwai Kibaki, of all the people. Nchi za watu wenye raia walio na uelewa na upeo, li-mayor moja la jiji ambalo kesho kutwa linaondoka kwenye cheo haliwezi likaamka asubuhi ghafla limeshauriwa sijui na nani nyumbani kwake huko likaja likawaambia kuanzia leo jina la huu mtaa ni Yoweri Museveni! Watu watachoma mtaa! Tatizo moja kubwa la Watanzania ni kwamba hatujipendi, hatujithamini, hatujijali na hatufikiri.
wengi mliochangia habari hii mnauwezo finyu wa kufikiri. Mtoa mada anajaribu kuonyesha jinsi gani tunapoteza identity yetu na kutukuza za wenzetu.
Watu wanashindwa kuelewa meseji ya mtoa mada wanabaki wanamshambulia tu na kumtukana kana kwamba kaandika kitu kisichokuwepo.
Kwanini tusiwe proud na utamaduni wetu??
Mwingine anahoji "eti kwanini umeandika lugha ya kiingereza?" utafikiri hajui kuwa kiingereza ni lugha rasmi hapa nchini.
Tunatakiwa kubadilika kwa jinsi tunavyochangia mada...
wewe kipofu huoni black kids hapo?au kwako black kids mpaka awe mweusi kama mjaluo?unaishi tz gani wewe?wake up and stop ur negativity.......duka ni la race zote coz tanzania kuna race zote na race zote na race zote zimewakilishwa sasa kama wewe huoni race yako hilo ni tatizo lako
Tanzania ina race ngapi?
wengi mliochangia habari hii mnauwezo finyu wa kufikiri. Mtoa mada anajaribu kuonyesha jinsi gani tunapoteza identity yetu na kutukuza za wenzetu.
Watu wanashindwa kuelewa meseji ya mtoa mada wanabaki wanamshambulia tu na kumtukana kana kwamba kaandika kitu kisichokuwepo.
Kwanini tusiwe proud na utamaduni wetu??
Mwingine anahoji "eti kwanini umeandika lugha ya kiingereza?" utafikiri hajui kuwa kiingereza ni lugha rasmi hapa nchini.
Tunatakiwa kubadilika kwa jinsi tunavyochangia mada...
Point yako ni nini hasa, naona unajikanyaga tu, hebu jadili mada uskike! UBAYA WA HIYO PICHA ILIYOWEKWA HAPO NI NINI?