😡 haaa kumbe tunachukia wengi haya matangazo?
1.ni kama matangazo ya malaria "walipokua wanaongea kiinglishi"nilijiuliza,ivi ili tangazo ni maalum kwa wageni tu au nini ichi?ata kama limefadhiliwa na donors,mbona audience kubwa inayoathirika na ili na waswahili?anyway naona nao wameaza weka kiswahili.
2.kuna lile la malaria haikubaliki la bwana Mengi hahahahaaa
3.kuna lile la bwana zain-kiponde sijui yule mtangazaji wa radio ya
4.kuna lile la sippy soda
5.