BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,122
- 4,060
Nilitaka kuanzishia topic jmosi iliyopita. actually hayo matangazo yanauzi sana.
Wamedesa kilakitu kutoka lile tangazo la maleria haikubaliki, ambako yule mwanadada anawahoji watu.Eti Wao ndo wakaona ni kipimo cha tangazo nzuri.
...Mkuu, kama ni kudesa basi hata Maleria haikubaliki nao walidesa maana miaka kama mitano ama sita nyuma tayari SimTank walikuwa na tangazo la SimNews ambapo binti mmoja alikuwa kipita akiwahoji wajenzi, wenye nyumba na kadhalika kuhusu matangi ya maji ya Simtank!