Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.

Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua kiingereza kwa watu wake?

My take:
Tangazo lile lipigwe stop asap!

------
 
Logic ya lile tangazo ni kwamba inawezekana vipi wanafunzi wafundishwe masomo kwa lugha ya kiingereza (sekondari)ikiwa walimu wenyewe hawaielewi vizuri lugha hiyo? Ndio wale wanafunzi wakatamani wangefundishwa kwa lugha ya kiswahili ili waeleww kinachofundishwa.
 
Huo ndio ukweli..walimu wengi ni vilaza..mana hata ualimu wanaoenda kusomea ni wale wenye division 3 na 4 za mwisho.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unataka kukuza mada tu, kuna watu na digrii 3 wameshindwa na wakatetewa kwamba kiingereza siyo muhimu, halafu wewe unaongelea walimu?
 
Hata mm siku ya kwanza kusikia hilo tangazo nilishangaaπŸ€”πŸ€”πŸ˜²πŸ˜².
ila sasahivi nimetokea kulipenda the way anavyo ongea mwalim nabaki kuchekaaaaaa.. pliz mwenye hiyo record ani2mie inaweza kunifaa kwa upande mwingne πŸ™πŸ™
 
Mwisho wa siku, huu uzi kuna marehemu atashambuliwa kuhusu Kiingereza chake, tuvute subira
 
Wewe unashangaa nini hapo .
Magufuli na Ndalichako uliwahi kuwasikia kiingareza chao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…