Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

Tangazo la Haki Elimu linadhalilisha kada ya Ualimu

Usicho kijua kuhusu lugha ni kwamba kuna lugha ya mazungumzo na lugha ya kufundisha hivi ni vitu viwili tofauti kwa walio soma linguistic wananielewa vyema lakin wewe sidhani kama utanielewa maana nakuona kabisa kichwani mtupu ingawa wewe unajiona mahiri.

Na ndio maana wakenya ni walimu wazuri sana wa kiswahili na wana aminika mataifa ya wasio tumia kiswahili lakini wana kiswahili kibovu sana cha kuongea.
Kumbe?Kwa hiyo unakubali lugha inasumbua walimu wetu, si tu kwa kuongea bali hata kusoma na kuandika?

Basi ndo maana lugha inasumbua sector zote Tanzania. Suluhisho lako ni nini? Tuendelee hivi ama tuboreshe?
 
Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.

Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua kiingereza kwa watu wake?

My take:
Tangazo lile lipigwe stop asap!

------
Nia ukweli wala hakuna anaedhalilishwa, waalimu wajitahidi kuwa proffesional na waongeze elimu waachane na habari za kuisaidia ccm kuiba na kuhesabu sensa
 
Nikuulize kwanza wewe unaakili timamu? Maana sidhani hata kama unaelimu yeyote ile laa! Kama unayo basi ndo hizo div 4 za mwisho na hasa kwa mawazo yako nayo yaona hapa
Usinichekeshe, wewe unayetaka haki elimu iende kwenye sector za afya wakati sole purpose yake ni elimu ulipata division ngapi? One? Kwa walimu kama walioneshwa kwenye tangazo sio? Pathetic.
 
Siasa kwenye mambo muhimu...

Sababu waalimu hawajui kingereza nini kifanyike ?

Tuache kufundishia hiki kiswahili cha dunia na kutumia kiswahili cha kwetu ?

Au tuhakikishe waalimu hawa wanaweza kutumia hii lugha ipasavyo ?

Ukizingatia masomo mengi kiswahili hakikidhi misamiati..., kama vile ilivyo kwenye Biology bado tunatumia a dead language (kilatini) kwenye vitu vingi...
 
Majibu yako yana onesha kabisa wewe bado mtoto mdogo lakini akili pia huna kichwan mweupe kabisa stress zako za kufeli unaona uje uzimalizie huku.
Nilikuwa nawajibu bila ya kutukana wala kuita watu majina ya kudhalilisha ila nyinyi ustaarabu umewapita kushoto.

Sawa mkubwa uliyefaulu maisha.
 
Mbna fresh tu Tena mm naona tuko vzr kuliko hata wanaigeri kingerza Chao Ni mbovu mbaya Seema kinaeleweka ila huku Ni genius Sana kwani mtu unasoma miak Sana kiswahili alfi miaka mingine yote kwa kingereza mbna tuna I kubwa Sana tu
 
Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.

Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua kiingereza kwa watu wake?

My take:
Tangazo lile lipigwe stop asap!

------
Kwa mtazamo wangu sioni sababu ya kuona tangazo ni baya na tuwe pia tunapokea mrejesho hata kama unauma au laa.wengi tunapenda kusifiwa au kupata mrejesho chanya.kiukweli watanzania wengi lugha hii inatusumbua kwa sababu mazingira tuliyotoka ama mfumo wetu wa elimu pia unachangia.

Nikirudi kwenye mada kutokujua kiingereza siyo kwamba ni kuwa kilaza hii napingana nayo sababu kuna watu wengi duniani wanaongea lugha zao mfano wafaransa, wachina n.k. Hii ni oja ya lugha tu. Hata hao wazungu wenye lugha yao utakuta anaongea vizuri au hata hapa wabantu wenzangu utakuta wanaongea lugha vizuri lakini ni vilaza wakubwa.

Hawa wametoa mrejesho kuwa kwanini tusitumie lugha ya kiswahili kufundishia ili watoto waweze kuelewa na pia muelimishaji awe vizuri katika kuwasiliana. Ni kweli shule zetu za asante kayumba walimu wengi wanapata shida sababu ya mfumo wa kupata walimu haupo vizuri. Ingekuwa walimu wetu karibu wote wana masters hapo ingekuwa hadithi ingine. Cha kufanya ni kuwasaidi a hawa walimu wetu angalau wapate kozi fupi fupi mara kwa mara hata ili ziwasaidie.
 
Back
Top Bottom