Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Kama cha yule wa wizarani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuje kwako Mheshimiwa, wewe kama wewe, unaweza kuongea lugha ipi kwa ufasaha, na pasipo kukosea matamshi yake?Tuacheni unafki, asilimia kubwa ya walimu wanaongea broken english.
Si walimu peke yao, watu wa fani zote tuTuacheni unafki, asilimia kubwa ya walimu wanaongea broken english.
Mimi ni mwalimu?Tuje kwako Mheshimiwa, wewe kama wewe, unaweza kuongea lugha ipi kwa ufasaha, na pasipo kukosea matamshi yake?
Au ndiyo kusema unamnyooshea mwenzako kidole kimoja 👉 halafu vidole vingine vinaelekea kwako!
Sasa tunatakiwa tupambane na walimu, wao ndio wanafundisha watu. Sisi wote tumepita darasani.Si walimu peke yao, watu wa fani zote tu
Sasa kama unaona hao walimu asilimia kubwa wanaongea broken english, si ukasomee basi huo ualimu ili uwe mwalimu bora kuliko hao wengine!Mimi ni mwalimu?
Umesoma ulichoandika?
Kwa hiyo excuse yako ni kwamba kisa mimi siwezi kuongea fluently basi na mwalimu nae abutue!! Upo serious?
Maana ya kuwa mwalimu ni kuwa kiongozi, endapo mwalimu anaongea broken basi mimi mwanafunzi kuna asilimia kubwa sana ntafuata nyayo za mwalimu.
Msingi mzuri unaaza tangu primary ,tumesoma kiugumu Sana hamfundishwi kujieleza ndio hata point watoto wanashindwa kuziteteaIla elimu ya Tanzania ngumu sana. Unakuta mwalimu anasoma pwenti Kwa lugha ya kiingereza ila katika kuifafanua na kuielezea anatumia kiswahili Kwa 100%, wanafunzi wanakuwa wameelewa vizuri pwenti baada ya ufafanuzi.
Mwalimu anahamia Mada nyingine na mtindo ni huo huo. Na akiuliza wanafunzi kama wameelewa wanajibu Kwa sauti kabisa ndiyoooo maana ufafanuzi umetolewa Kwa lugha Yao.
Shida inakuja katika mitihani ambayo haipimi uelewa ila inapima kile mwalimu anachotaka. Mwanafunzi ana ufafanuzi na maelezo ya kiswahili kichwani ila mtihani unahitaji kingereza kilichonyooka. Shida kubwa iko hapa.
Mbali na kubadilisha mbinu za ufundishaji na ujifunzaji, pia kazi kubwa inahitajika katika mabadiliko ya mitaala na lugha rasmi ya kutumika katika ujifunzaji na ufundishaji. Ni muhimu sana kuzingatia Hilo suala la Lugha. Wengi wana Kwama hapo.
Kijana!! Ambacho unashindwa kuelewa ni kipi? Endapo wewe ni Daktari basi hakikisha ni daktari bora, endapo wewe ni mwalimu basi hakikisha wewe ni mwalimu bora na si bora mwalimu.Sasa kama unaona hao walimu asilimia kubwa wanaongea broken english, si ukasomee basi huo ualimu ili uwe mwalimu bora kuliko hao wengine!
Bila shaka wewe na hao haki elimu, akili zenu zinafanana. Mnapenda tu kutoa kasoro, kunyanyapaa watu wengine, huku mkiwa ni useless.
Cha kushangaza sasa ndio hao hao wenye sifa unazo zisema ndio walio kufundisha wewe hadi leo ukaweza kuwatukana , kweli maajabu ya mtoto kuutukana uchi wa mama yake ulio mzaa.Huo ndio ukweli..walimu wengi ni vilaza..mana hata ualimu wanaoenda kusomea ni wale wenye division 3 na 4 za mwisho.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kujiboresha na kuwa mwalimu bora ni kujua kuongea kingereza kwa ufasaha!? Ndivyo mlivyo kalilishwa na wajinga wenzenu kwamba kuongea kingereza ndio kustaarabika na kuwa na akili!? Kweli wajinga na watumwa wa mawazo bado mpo wengi sana nchi hii.Kijana!! Ambacho unashindwa kuelewa ni kipi? Endapo wewe ni Daktari basi hakikisha ni daktari bora, endapo wewe ni mwalimu basi hakikisha wewe ni mwalimu bora na si bora mwalimu.
Nchi hii imejaa watu kama nyinyi mkiambiwa mjirekebishe na kujiboresha unaona umenyanyapaliwa of which ni outright madness.
Sasa endapo kitu ambacho mwalimu mwenyewe anashindwa huyo mwanafunzi unategemea atakuwaje?
Headmaster fulani akiwa parade asubuhi, 'Yesterday some students goes football without our communication'......sitokaa nije kusahau hili.
Nimekufuatilia nimegundua we dogo limbukeni sana na una ufinyu mkubwa sana wa uelewa kwa mambo mengi sana na ndio maana ukapata ujasiri wa kuutukana uchi wa mama yako ulio kuzaa.Sio utaahira hiyo ni international language..muhiku kuijua..haya komaa na kiswahili chako.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakujibu hapa , tena kwa kuongezea kingereza cha kuongea sio cha faniNi kweli baadhi ya walimu English unawasumbua lakini ni kada ipi ambayo ipo competent zaidi kwenye kingereza ?
Kwani ni uongo?Mwalimu yupo darasani anasema, which is talking? Wanafunzi wanaishia kushangaa.
Tangazo hili la haki elimu ni kama linadhalilisha kada ya ualimu. Je ni kweli walimu wengi hawajui Kiingereza? Sasa inakuaje mtu anafika hadi chuo kikuu hajui kimombo? Je kada nyingine nazo vipi kuhusu kujua kiingereza kwa watu wake?
My take:
Tangazo lile lipigwe stop asap!
------
Hii kwangu sio ishu, eti kwamba lugha ndo chanzo cha mwanafunz kutoelewa na kufeli.. wengi wetu tumetokea shule za st.kayumba na sekondar tukasoma za kata hakuna walimu na bdo tukasoma na kufaulu vzur tuu... hilo la lugha sio pointLogic ya lile tangazo ni kwamba inawezekana vipi wanafunzi wafundishwe masomo kwa lugha ya kiingereza (sekondari)ikiwa walimu wenyewe hawaielewi vizuri lugha hiyo? Ndio wale wanafunzi wakatamani wangefundishwa kwa lugha ya kiswahili ili waeleww kinachofundishwa.