choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
si mnasema ni international language, sasa mtu anazaliwa usukumani, utotoni lugha anayoijua ni kisukuma tuu, akianza shule ya msingi ndio anajifunza kiswahili, baadae ndio aje kwenye kingerezaHiyo leonel messi uko nchini kwake wanakitumia kingereza kama lugha rasmi?
Tatizo wa bongo mnataka mtu aongee kingereza kama waingereza wakati siyo lugha mama yake, mmeshasikia kingereza cha wahindi? au mzungu akiongea kiswahili anaongea kama mtu wa pwani?