Planet Data bundles
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,403
- 4,362
Siyo full time ni digital so unaweza ifanya hata ukiwa na kazi yako nyingineAcha masihara basi 100k kwa mwezi?
Digital halafu unasema kuongea na watu?Siyo full time ni digital so unaweza ifanya hata ukiwa na kazi yako nyingine
Siyo ya kuuza madeli ya ice cream na mabeseni?Uwe una uzoefu wa kuongea na watu
(Communication skills)
Ushawishi muhimu
HapanaSiyo ya kuuza madeli ya ice cream na mabeseni?
Nakuchek0782988363
Digital servicesHiyo kazi hata wewe unaionea aibu maana unaificha ficha sana
UnahitajiWEKA WAZI KAZI GANI
Eleza vizuri. Digital services gani?? hata picha za mapilau mtandaoni ni digital services. kua spesific tujue hiyo kazi yako.Digital services
Nicheki hapo utafafanuliwa afu utachagua kama unaweza au huweziEleza vizuri. Digital services gani?? hata picha za mapilau mtandaoni ni digital services. kua spesific tujue hiyo kazi yako.
Umefanya nimkumbuke yule jamaa anayewatongoza wanaomdai marejesho..!!Kazi ya kudai mikopo mtandaon
Si digital services umeambiwaMshahara Laki moja halafu kazi haijulikani 😹