beberu la mtaa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 682
- 1,666
Duuh ila kweli mkuu 🤔🤔Hizi zinakuwaga kama ajira za TISS zinavyotolewaga 😅😅
Duuh ila kweli mkuu 🤔🤔Hizi zinakuwaga kama ajira za TISS zinavyotolewaga 😅😅
Wewe ni msengee kweli kweli, yaani kazi hiyo ni siri kiasi hicho? Ni WAPUMBAVU tu wanaweza kukufuata.Nicheki hapo utafafanuliwa afu utachagua kama unaweza au huwezi
HahahaKama unajua huwa unakosoa humu mafisadi, watekaji na wauaji usithubutu kuweka namba. Machawa wanatafuta wahanga kimkakati sana