Tangazo la kazi 100k kwa mwezi. Kazi unafanyia popote

Waziri wa ajira uje huku, kuna mabosi wanakiuka sheria za kima cha chini 350K πŸ˜‚
 
Anauza bundle huyo jina tu linajieleza hakujua jf majobless wapo wengi ila sio wa bei rahisi rahisi
 
Kama unajua huwa unakosoa humu mafisadi, watekaji na wauaji usithubutu kuweka namba. Machawa wanatafuta wahanga kimkakati sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…