sulemoney
Member
- May 3, 2024
- 85
- 74
Wakuu naomba kueleweshwa, nimekutana na baadhi ya matangazo ya kazi ambayo Yana kigezo kimojawapo cha muombaji kuwa ni mwajiriwa na aambatanishe barua yenye muhuri kutoka ofisi aliyoajiriwa.
Sasa nikajiuliza inamaana hawaoni wasiokuwa na ajira ni wengi mtaani? Ama hawaamini kupata mfanyakazi Bora katika wale wasio na ajira?
Sjapata majibu sahihi juu ya nini wanalenga naomba kueleweshwa wakuu.
Au Mimi ndio sjaelewa vizuri kwenye vigezo