Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Liweke hapa wakulungwa wajaribu bahati ya kuhamia huko...mini kupata mfanyakazi Bora katika wale wasio na ajira?
Sjapata majibu sahihi juu ya nini wanalenga naomba kueleweshwa wakuu.
Au Mimi ndio sjaelewa vizuri kwenye vigezo
Transfer vaccancies not Job advert!Wakuu naomba kueleweshwa, nimekutana na baadhi ya matangazo ya kazi ambayo Yana kigezo kimojawapo cha muombaji kuwa ni mwajiriwa na aambatanishe barua yenye muhuri kutoka ofisi aliyoajiriwa.
Sasa nikajiuliza inamaana hawaoni wasiokuwa na ajira ni wengi mtaani? Ama hawaamini kupata mfanyakazi Bora katika wale wasio na ajira?
Sjapata majibu sahihi juu ya nini wanalenga naomba kueleweshwa wakuu.
Au Mimi ndio sjaelewa vizuri kwenye vigezo
View attachment 3190667
Unakuta taasisi ina uhitaji wa wafanyakazi lakini shida inakuja kuwa kupata kibali cha kuajiri inachukua muda mrefu kwa sababu lazima itengwe bajeti kwa ajili ya mchakato wa kuendeshe hizo process za kupata watumish wapya so unakuta kibali kinachelewa kwa sababu bajeti haijapangwa, ila nafasi za uhamisho zinatoka kwa sababu hazina gharama zozote zile ni mfanyakaz anaomba kuhamia taasisi nyingine bila malipo, ndio maana unakuta wanatanagaza nafas za uhamisho ili kuziba nafasi kwa wakatiKuna waajiri hawataki kukuajiri akulipe mshahara ili akupe elimu sijui training ya mwaka mzima ili ujue kazi, wanataka ukiingia kazini unaleta matokeo na sio akulipe mshahara mpaka uzoee kazi.
Waajiri wameshajua elimu zetu ni za makaratasi. GPA ya mechanic kubwa mpe sasa hilo genereta afanye maintainance, analilipua so wanaona bora ambaye yupo kazini gharama ya kumtrain si kubwa.
True.Unakuta taasisi ina uhitaji wa wafanyakazi lakini shida inakuja kuwa kupata kibali cha kuajiri inachukua muda mrefu kwa sababu lazima itengwe bajeti kwa ajili ya mchakato wa kuendeshe hizo process za kupata watumish wapya so unakuta kibali kinachelewa kwa sababu bajeti haijapangwa, ila nafasi za uhamisho zinatoka kwa sababu hazina gharama zozote zile ni mfanyakaz anaomba kuhamia taasisi nyingine bila malipo, ndio maana unakuta wanatanagaza nafas za uhamisho ili kuziba nafasi kwa wakati