Tangazo la kazi alafu linahitaji waombaji waliooajiriwa

KIMENILAMBA WAJUBA WAKUU , NI TRANSFER WAZEE DAH ,HAYA MAMBO TUKIONA MATANGAZO TUNAKIMBILIA KWENYE QUALIFICATIONS TU ,NOMA SANA πŸ™ƒπŸ™ƒπŸ™ƒ
 
Maelezo katika picha uliyoweka ni kwa watumishi wa umma wanao hitaji kuhama kutoka idara/taasisi moja kwenda nyingine serikalini
 
Liweke hapa wakulungwa wajaribu bahati ya kuhamia huko...
Ohoo kumbe kukosea kwangu kutokusoma maelezo ya juu kunaweza kuwa msaada kwa wengine, asee ngoja niliweke lote sasa maana na ninavyopenda kusaidia watu
 
Kuna waajiri hawataki kukuajiri akulipe mshahara ili akupe elimu sijui training ya mwaka mzima ili ujue kazi, wanataka ukiingia kazini unaleta matokeo na sio akulipe mshahara mpaka uzoee kazi.

Waajiri wameshajua elimu zetu ni za makaratasi. GPA ya mechanic kubwa mpe sasa hilo genereta afanye maintainance, analilipua so wanaona bora ambaye yupo kazini gharama ya kumtrain si kubwa.
 
Transfer vaccancies not Job advert!
 
Unakuta taasisi ina uhitaji wa wafanyakazi lakini shida inakuja kuwa kupata kibali cha kuajiri inachukua muda mrefu kwa sababu lazima itengwe bajeti kwa ajili ya mchakato wa kuendeshe hizo process za kupata watumish wapya so unakuta kibali kinachelewa kwa sababu bajeti haijapangwa, ila nafasi za uhamisho zinatoka kwa sababu hazina gharama zozote zile ni mfanyakaz anaomba kuhamia taasisi nyingine bila malipo, ndio maana unakuta wanatanagaza nafas za uhamisho ili kuziba nafasi kwa wakati
 
True.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…