Tangazo la Kazi Kwa Watanzania Ktk Kampuni ya Space X (Twitter) Nchini Marekani

Tangazo la Kazi Kwa Watanzania Ktk Kampuni ya Space X (Twitter) Nchini Marekani

Chillah

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
8,870
Reaction score
10,066
Watanzania tuchangamkie fursa hizi, wakenya wasije kuwapiga bao

FaizaFoxy
USSR
Maghayo
instanbul
Pascal Mayalla
Mshana Jr
OKW BOBAN SUNZU
FRANCIS DA DON
Msanii
Mpwayungu Village
Bufa
Kaka yake shetani
UMUGHAKA
ChoiceVariable

CFEF7A50-38E5-4B2A-99A9-A9258756F9AB.jpeg
 
Ningekuwa marekani ningepata hii jamani
Wasambazie ndugu waliopo huko, onesha upendo kwao!

Ipo siku utapata ingia ktk wavuti mbalimbali za ajira nje huko upate kuongeza Wigo wa fursa

Kila la kheri!
 
Kampuni ya Space X na Twitter (X) ni Kampuni mbili tofauti moderators mumepotosha Tittle
 
Hela ndefu sana
Ningefanya kwa malengo miaka yangu kadhaa
Wapo watanzania wana zigombania Au changamkia ktk taasisi mbalimbali za kimataifa

Wengi ni kama tuna pambana na ajira za serikali pekee wakati ulimwengu ni mpana sana, chochote cha weza tokea kwa wakati wowote
 
Back
Top Bottom