Good point.
Ila, walau basi Rais angeisoma taarifa kwenye teleprompter.
Kwa nilivyoona, alichokitangaza kilikuwa kinatoka kichwani mwake. Hakuwa anasoma sehemu...
Na pia angeweza kuwa attired appropriately.
Hahaaaa.....umesahau kutaja CORONA mkuu.....hahaaaHako kaugonjwa wanakokaita security issue katakuwa miezi ya karibuni kamewachanganya.
Ugonjwa ni ugonjwa tu wakuu.
Iwe malaria, typhoid, Cancer, nk zote zinauwa. Mgonjwa hufa kwa ugonjwa mmoja. Jina la ugonjwa husika hayupo mwenye kulipanga lakini mola peke yake.
Pumzika kwa amani jabali la muziki.
Pia wale wenye roho mbaya wanahofu asije akafufuka😀😀Hapo kuhusu muda, Watu hawaaminiki, wakisubiri kupambazuke huenda wakashtukia taarifa zipo mitandaoni zimezagaa.
Hahaaaa.....umesahau kutaja CORONA mkuu.....hahaaa
Hapana.......kikubwa ni mapokezi ya Mh TUNDU LISSU hili la msiba ni la kiprortokali zaidiWakuu nisaidieni hivi huu msiba ni mkubwa kwa taifa au? Maana hata sielewielewi
HahahahahaaaTulia pascal, teuzi zimeisha
Jakaya keshawaambia Marehemu alikuwa analalamika tumbo linamuuma....Katika uongozi hakuna shocking news yeye kama comforter in chief anapokuwa kwenye confusion hivyo sisi wananchi turakuwaje ?
Yaani unataka rais afarijiwe wakati yeye ni mfariji mkuu wa nchi ?
Kwanza kwanini katuficha chanzo cha kifo wakati anajua sheria inamtaka atoe taarifa ya chanzo cha kifo ?
Kama unataka kusemaaa....????Nilishangaa kuona socket za umeme nyuma yake
Nasikia alifia nyumbani ghafla kwa changamoto ya upumuaji ndio maana haijatangazwa hospitali wala ugonjwa maana serikali hii ya kishetani inakataa kusema corona ipoMimi kwangu sina tatizo na muda hata kama ingekuwa saa nane usiku lakini shida ni namna tangazo lenyewe lilivyotolewa mfano kuna haja gani ya kuficha hospitali alipofia na hata maradhi unaweza kusema hilo ni la familia lakini mtu akiwa kiongozi tena kiongozi mkuu huyu familia yake ni pamoja na wale anaowaongoza hivyo kuna umuhimu wa kujua kipi kimemsibu kiongozi wao sasa umeona hata ule mtiririko wa tangazo lenyewe ni kama alikuwa anababaika kwa kuruka ruka maeneo fulani fulani ambayo eti yeye aliona haikustahili kuwekwa bayana.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Hivi hamjui Magufuli? Kwenye hali kama hiyo atawaambia ''natangaza sasa hivi''. Wakimwambia mambo ya dress code, sehemu aliyokaa atawaambia ''natangazia hapa hapa chumbani, kwani nani ataniuliza?''
Kabisa bwana Paschal yaani imekuwa kama kutangaza kifo cha mmachinga huku rais akivalia kama anakwenda matembezi ufukweni. Lakini ndivyo mambo mengi yanavyoendeshwa awamu hii. Na pia mzee wetu naye mbishi sana hapendi kuambiwa kitu kwa ubishi huu yatamkuta mengi.Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.
Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.
Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.
Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.
Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, lakini kuna dress code ya msiba. Wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.
Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6, likianza na National Anthem na kumalizika na National Anthem.
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taratibu za tangazo muhimu kama hilo ikiwemo wimbo wa taifa, na taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.
- Jina la Kiongozi ni nani
- Kifo kimetokea lini
- Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
- Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
- Kama ni hospitalini, hospitali gani
- Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.
My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.
Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.
Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
Paskali
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake!
Mkuu inawezekana ikawa ni mtizamo wako, ila kwa namna ambavyo habari zinasambaa kwa haraka kipindi hiki bila kufanya maamuzi yaliyofanywa pengine leo tungekuwa na habari tofauti na hizi, (UMBEA , UZUSHI NA UZANDIKI WA KIBEBERU) nadhani tuwapongeze wote walio husika kwa tangazo lile. Kuhusu mavazi ya mzee kwa muda alio toa tangazo na mavazi aliyovaa vilikua vinaendana kabisa, ningeshangaa kama kwa muda ule angekuwa kwenye suti. NAWAPONGEZA SANA WASAIDIZI WA NDUGU RAIS KWA HATUA STAHIKI WALIZOZICHUKUA.Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.
Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.
Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.
Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.
Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, lakini kuna dress code ya msiba. Wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.
Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6, likianza na National Anthem na kumalizika na National Anthem.
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taratibu za tangazo muhimu kama hilo ikiwemo wimbo wa taifa, na taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.
- Jina la Kiongozi ni nani
- Kifo kimetokea lini
- Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
- Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
- Kama ni hospitalini, hospitali gani
- Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.
My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.
Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.
Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
Paskali
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake!
Aisee! Inashangaza rais kufariki halafu haisemwi kafia wapi! Huo ni mlolongo wa mambo ya kienyeji ya Magufuli.Nasikia alifia nyumbani ghafla kwa changamoto ya upumuaji ndio maana haijatangazwa hospitali wala ugonjwa maana serikali hii ya kishetani inakataa kusema corona ipo
Sio utoto tu.......ni ushamba na ulimbukeniUongozi wa Magufuli una taswira ya utoto sana na hili kaonyesha wazi hii taswira ya utoto.
Huko kijijini kwenu ni sawa tu lakini sio kwa ustaarabu katika mambo ya kitaifa. Kuna kitu kinaitwa dress code...Hilo shati ni la kutembelea wakwe zake sio la kulitangazia taifa mambo mazito.Mkuu inawezekana ikawa ni mtizamo wako, ila kwa namna ambavyo habari zinasambaa kwa haraka kipindi hiki bila kufanya maamuzi yaliyofanywa pengine leo tungekuwa na habari tofauti na hizi, (UMBEA , UZUSHI NA UZANDIKI WA KIBEBERU) nadhani tuwapongeze wote walio husika kwa tangazo lile. Kuhusu mavazi ya mzee kwa muda alio toa tangazo na mavazi aliyovaa vilikua vinaendana kabisa, ningeshangaa kama kwa muda ule angekuwa kwenye suti. NAWAPONGEZA SANA WASAIDIZI WA NDUGU RAIS KWA HATUA STAHIKI WALIZOZICHUKUA.
VILE UKIMUONA TRUMP KAVAA SUTI USIKU JUA KULE KWAO NI MCHANA NASISITIZA TU. TUSALIMIE SHITINDIHuko kijijini kwenu ni sawa tu lakini sio kwa ustaarabu katika mambo ya kitaifa. Kuna kitu kinaitwa dress code...Hilo shati ni la kutembelea wakwe zake sio la kulitangazia taifa mambo mazito.
Mkapa alisemaKwa hiyo serikali inashindana na mitandao ya kijamii nani awahi kukomenti sio...
Tatizo Ni kwamba licha ya uharaka wote huo bado taarifa haikutimia, yule ni kiongozi wa nchi inahitajika uwazi na umakini kuhusu kifo chake.
Mwalimu alifia hospital ya Mtakatifu Thomas pale Uingereza, tuliokuwa tunakua wakati huo mpaka leo hilo jina halitutoki.
Sasa Mheshimiwa amefia wapi kwa ugonjwa gani haijulikani kabisa.