REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Ndio hivyo mpaka sasa jamii ina maswali mzee kafariki kwa ugonjwa gani siri nyingine za kijinga sana zinafanya jamii ipige ramri na kuja na majibu jirani yako ndio mwanga kumbe ni mipango ya munguππππ
What's coincidence!!?Nyerere alikufa kabla Mkapa hajaingia second term of his presidency, Mkapa naye kafa kabla Magufuli hajaingia second term of his presidency!
Mkapa alikuwa kijana wa Nyerere na Magufuli ni "kijana" wa Mkapa.
Magufuli is a country bumpkin.Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.
Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.
Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.
Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.
Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, yaani kuvaa casual, lakini kuna matukio lazima uvae, formal dress code, kutangaza msiba wa taifa, dress code should have been formal.
Wabobezi hao wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.
Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6, likianza na National Anthem na kumalizika na National Anthem.
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taratibu za tangazo muhimu kama hilo ikiwemo wimbo wa taifa, na taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.
- Jina la Kiongozi ni nani
- Kifo kimetokea lini
- Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
- Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
- Kama ni hospitalini, hospitali gani
- Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.
My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.
Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.
Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
Paskali
Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake!
Braza hongera sana kwa kuweza kutupa hii elimu kuhusiana na hili jambo. Nakupa Good critical na like za kutosha siku ya leo.........Wanabodi,

Mkuu acha tuzike kwanzaNyerere alikufa kabla Mkapa hajaingia second term of his presidency, Mkapa naye kafa kabla Magufuli hajaingia second term of his presidency!
Mkapa alikuwa kijana wa Nyerere na Magufuli ni "kijana" wa Mkapa.
Unataka tutangaze ugojwa( changamoto ya kupumua) halafu watalii wasije? Ni marufuku kupima wala kutangaza death arising from covid19,maana virus wapo Kenya na Uganda,Rwanda na Burundi tuuu,wameogopa ku cross border kuingia Tanzania sababu ya maombi. ASANTE WAJUMBE ASANTE NDUNGULILE KWA UKOMBOZI WA TAIFAIkulu imechemsha, Watanzania tuna haki ya kujua chanzo Cha kifo, tangazo limekaa kizuzumagic sana.
Ni miezi sasa huyu Kigogo kapotea? What might have happened?Mkuu P nadhani walilinda hiyo habari isisambae mana siku hizi wajuzi tupo wengi just imagine ingetangazwa na kigogo2014 na auongezee kwa kusema jiwe amemuuwa Bwm. Huu ni Ulinzi
ASANTE WAJUMBE ASANTE NDUNGULILE KWA UKOMBOZI WA TAIFA
Wajumbe wana point ktk kazi zao huyu nae ana point ktk kazi yake waheshimianeHuwaga unakuwa na Point za kisomi sema tatizo wajumbe wengi wa CCM hawana elimu wao hawajui chambua code kabisa.
Nafasi nzuri ni Mzee baba akuteuwe ndo waeza julikana
MWAMBA huyo, katukomeshea kweli.
Sipati picha, kama mtoto pendwa angekuwa hajaionja ile sumu, kwa matukio hayo mawili, (Ya Mkapa na Lissu) angekuwa ametoa maagizo ya aina gani kwenye MKOA WAKE!
Kutangaza ilikuwa lazima iwe usiku ule ule kabla taarifa hazijavuja mitandaoni. Ila wangemsaidia raisi kuiandaa vizuri zaidi kabla raisi hajaisema.Hata mimi niliona hilo, hakukuwa na haraka ya rais kutangaza msiba usiku na kutupa taarifa nusu nusu, Refer tangazo la Mkapa akitangaza msiba wa Mwalimu ilikuwa clear kabisa kila kitu kilisemwakea tangazo, kwenye dress code mmh, I reserve my comments
Kwa mwili wa mzee ulivyokuwaga miaka yote, haikuwa ngumu kuhisi. Mie nilihisi itakuwa moyo au stroke akiwa amelala, akapitiliza.Update
Kumbe Sababu ya Kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante Sana Mwanafamilia William Erio Kumaliza Sintofahamu Hii!.
Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.
Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya
Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari
Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.
Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.
Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.
RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.
Paskali
Naunga mkono hoja Kaka yngu na sijui kwa nini ndugu zetu awataki msaada wako pale labda kuna sehemu ulipishana nao maana nasikia narudia tena nasikia Wasukuma mnapenda sana kuweka visasi ila naomba NONGWA tuachieni wenyewe Wazaramo.
Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
Lazima Kaka yngu vijana bado wadogo...Kaka "nasikia,narudia tena nasikia"ni kujihami?
Nami kama mwandishi wa habari kwa upande wa electronic media, kuna vitu vingine niliviona lakini nikamezea tu.Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.
Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.
Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.
Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.
Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, yaani kuvaa casual, lakini kuna matukio lazima uvae, formal dress code, kutangaza msiba wa taifa, dress code should have been formal.
Wabobezi hao wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.
Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6, likianza na National Anthem na kumalizika na National Anthem.
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taratibu za tangazo muhimu kama hilo ikiwemo wimbo wa taifa, na taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.
- Jina la Kiongozi ni nani
- Kifo kimetokea lini
- Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
- Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
- Kama ni hospitalini, hospitali gani
- Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.
My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.
Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.
Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
Paskali
Update
Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii