Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.

Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.

Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.

Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.

Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, yaani kuvaa casual, lakini kuna matukio lazima uvae, formal dress code, kutangaza msiba wa taifa, dress code should have been formal.

Wabobezi hao wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.

Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6, likianza na National Anthem na kumalizika na National Anthem.
  1. Jina la Kiongozi ni nani
  2. Kifo kimetokea lini
  3. Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
  4. Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
  5. Kama ni hospitalini, hospitali gani
  6. Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taratibu za tangazo muhimu kama hilo ikiwemo wimbo wa taifa, na taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.

Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.

My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.

Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.

Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.

Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.

Paskali

Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake!
Magufuli is a country bumpkin.

Katangaza msiba kama kafurumushwa kutoka usingizini akalazinishwa atangaze mara moja bila ya kujiandaa.

Mengine uliyoyaandika na mimi niliyaona, nikafikiri ndiyo kibongobongo watu hawaoni hayo.
 
sababu za vifo vya viongozi zinazotolewa nyingi huwa ni za uongo kwahiyo ni bora wasiwe wanatoa sababu ya kifo!!
 
Braza hongera sana kwa kuweza kutupa hii elimu kuhusiana na hili jambo. Nakupa Good critical na like za kutosha siku ya leo.........
 
Ikulu imechemsha, Watanzania tuna haki ya kujua chanzo Cha kifo, tangazo limekaa kizuzumagic sana.
Unataka tutangaze ugojwa( changamoto ya kupumua) halafu watalii wasije? Ni marufuku kupima wala kutangaza death arising from covid19,maana virus wapo Kenya na Uganda,Rwanda na Burundi tuuu,wameogopa ku cross border kuingia Tanzania sababu ya maombi. ASANTE WAJUMBE ASANTE NDUNGULILE KWA UKOMBOZI WA TAIFA
 
Mkuu P nadhani walilinda hiyo habari isisambae mana siku hizi wajuzi tupo wengi just imagine ingetangazwa na kigogo2014 na auongezee kwa kusema jiwe amemuuwa Bwm. Huu ni Ulinzi
Ni miezi sasa huyu Kigogo kapotea? What might have happened?
 
Hata mimi sio mwanahabari wala mwanahitifaki ila niliona mapungufu mengi kwenye hilo tangazo, asante kwa kuthubutu kulisemea
 
Sure! Nina assume kuanzia leo ambavyo angekuwa busy uwanja wa taifa, na suruali zake za kubana kuonyesha makalio na hips. Mungu fundi Sana...! Nakumbuka nilihudhuria msiba wa Samwel Sita maana nilikuwa Tabora( Urambo) kipindi hicho,huyu Bashite alikuwa na mbwembwe kwenye msiba balaaa aliku ana ki drone chake ana rekodi matukio kwa mbwembwe na vurugu, yaani mc yeye,mkuu wa itifaki yeye,chakula yeye. NINA HAKIKA HUYU KWA SASA HABEBEKI HASA BAADA YA UMMA KUONYESHA DHAHILI UMEFURAHIA MAAMUZI YA WAJUMBE WA TAIFA,NATABILI KUWA HUYU ATAKUFA KIFO KIBAYA CHA AJALI YA KUTENGENEZA AU SUMU INAYOUWA TARATIBU ILI KUFICHA ALIOSHIRIKI NAE UDHALIMU WAKE WOTE.
MWAMBA huyo, katukomeshea kweli.
Sipati picha, kama mtoto pendwa angekuwa hajaionja ile sumu, kwa matukio hayo mawili, (Ya Mkapa na Lissu) angekuwa ametoa maagizo ya aina gani kwenye MKOA WAKE!
 
Update
Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii
Kumbe Sababu ya Kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante Sana Mwanafamilia William Erio Kumaliza Sintofahamu Hii!.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali
 
Hata mimi niliona hilo, hakukuwa na haraka ya rais kutangaza msiba usiku na kutupa taarifa nusu nusu, Refer tangazo la Mkapa akitangaza msiba wa Mwalimu ilikuwa clear kabisa kila kitu kilisemwakea tangazo, kwenye dress code mmh, I reserve my comments
Kutangaza ilikuwa lazima iwe usiku ule ule kabla taarifa hazijavuja mitandaoni. Ila wangemsaidia raisi kuiandaa vizuri zaidi kabla raisi hajaisema.
 
Update
Kumbe Sababu ya Kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante Sana Mwanafamilia William Erio Kumaliza Sintofahamu Hii!.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali
Kwa mwili wa mzee ulivyokuwaga miaka yote, haikuwa ngumu kuhisi. Mie nilihisi itakuwa moyo au stroke akiwa amelala, akapitiliza.
Hata hivyo mwenyezi Mungu amemjaalia imekuwa chapchap bila mateso. Cardiac Arrest ni bora kuliko vyanzo vingine vingi tu. Maana ni papo hapo. Apumzike kwa amani kwa kweli. Alifanya kazi kubwa akiwa raisi.
 
Kaka "nasikia,narudia tena nasikia"ni kujihami?
Naunga mkono hoja Kaka yngu na sijui kwa nini ndugu zetu awataki msaada wako pale labda kuna sehemu ulipishana nao maana nasikia narudia tena nasikia Wasukuma mnapenda sana kuweka visasi ila naomba NONGWA tuachieni wenyewe Wazaramo.

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Wanabodi,
Naangalia Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kipindi kinajadili Msiba wa Benjamin Mkapa.

Tangazo la Msiba lililotolewa na Rais Magufuli, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu imelaumiwa kwa kutokumsaidia rais kikamilifu kutoa tangazo hili, hali inayotafsiriwa kuwa katika baadhi ya matukio, Kurengenzi hiyo inahitaji kusaidiwa na manguli wazoefu ili waweze kumsaidia rais Magufuli katika baadhi ya matukio.

Manguli wa Mwanza, Dotto Bulendu, Edwin Soko na Moses Mathews, wamesema kwa vile hii ni shocking news, kulipaswa kuwepo kwa muda kidogo wa kumuandaa rais Magufuli kutoa tangazo hilo kulitangazia kuanzia, timing, dress code na content za tangazo lenyewe.

Timing
Kwa vile msiba umetokea usiku, kutoa tangazo saa 6:30 usiku was not the right timing kwa Watanzania, news ya msiba ingekuwa held, halafu Wahariri wakaitwa Ikulu usiku ule, halafu Tangazo litolewe live saa 12:00 asubuhi, rais akiwa na VP na PM.
TCRA kutoa taarifa vyombo vyote vya habari vya k electronic kujiunga na TBC ili hiyo live itangazwe Tanzania nzima.

Dress Code.
Kuna mavazi ya kawaida mtu anaweza kuvaa katika tukio lolote, yaani kuvaa casual, lakini kuna matukio lazima uvae, formal dress code, kutangaza msiba wa taifa, dress code should have been formal.

Wabobezi hao wanasema rais Magufuli alipaswa kushauriwa kutoa tangazo hilo akiwa amevaa a proper dress code ya tangazo hilo.

Contents za Tangazo
Tangazo la msiba wa kiongozi wa kitaifa linaongozwa na sheria ya Vifo vya viongozi, sheria imeweka contents za kisheria ambazo lazima liwe na vitu 6, likianza na National Anthem na kumalizika na National Anthem.
  1. Jina la Kiongozi ni nani
  2. Kifo kimetokea lini
  3. Kifo kimetokea wapi nchini, mkoani, safarini, nje ya nchi
  4. Mahali mahsus, kimetokea nyumba, hospitalini, safarini,
  5. Kama ni hospitalini, hospitali gani
  6. Sababu za kifo, kimesababishwa na nini, maradhi, ajali, usingizini, etc
Tangazo la rais Magufuli kutangaza kifo cha Mkapa, lilikosa, baadhi ya taratibu za tangazo muhimu kama hilo ikiwemo wimbo wa taifa, na taarifa muhimu za kisheria, hivyo kuleta sintofahamu kwa jamii.

Hajawahi kusikika kuwa Benjamin Mkapa anasumbuliwa na maradhi yoyote, hivyo taarifa kuwa amefariki hospitali ni shocking, hospitali gani na ameumwa nini, ni maswali ambayo taarifa ya rais ilikosa.

My Take
Kwa vile taarifa ya msiba ni shocking news, flaws ndogo ndogo katika tangazo la msiba huo, zinavumilika.

Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu inafanya kazi nzuri katika upashanaji habari wa shughuli za rais, lakini lazima itenganishe matangazo ya kawaida ya rais kwa shughuli za kila siku za kazi za rais na tangazo la taifa, Watu wa Ofisi ya Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas walipaswa kuhusishwa, na kwa vile mimi sio mserikali kujua nani alihusika, kama Dr. Abbas alihusika na bado tangazo la rais ndio lile, hii inamaanisha Dr. Abbas anaelemewa naye anahitaji kuwekewa wasaidizi.

Kwa maoni yangu, japo sheria inatamka tatangazo litolewe immediately kunapotokea msiba, kama msiba umetokea usiku wa baada ya saa 6:00, then alfajiri ni immediately kulikuwa hakuna uharaka wa kukimbilia kutangaza usiku mkubwa huo huo ili kutoa nafasi kwa rais kutangaza in a proper way na kufanya mashauriano na watu wawili watatu ili kutoa tangazo kamilifu kisheria, kikanuni na kiutaratibu na sio kumuharakisha rais kutangaza huku he looks sleepy!.

Namalizia kwa kutoa pole kwa Rais wa JMT, Dr. John Pombe Magufuli, Familia ya Mkapa na Watanzania kwa ujumla, kwa msiba huu mkubwa wa rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.

Paskali

Update
Kumbe sababu ya kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante sana mwanafamilia William Erio kumaliza sintofahamu hii
Kumbe Sababu ya Kifo cha Mkapa ni Cardiac Arrest. Asante Sana Mwanafamilia William Erio Kumaliza Sintofahamu Hii!.

Kama Tangazo la kifo lingezingatia sheria tangu pale mwanzo, wala kusingetokea sintofahamu yoyote!.

Hivyo japo haijasemwa ni JF, lakini amini usiamini, mabandiko kama haya

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Japo yanalaumiwa kwa kuonekana watu wana mind vitu vidogo vidogo ambayo sio vya msingi, lakini yanasaidia.

Chanzo cha kifo cha ghafla cha any state leader ambaye hajawahi kutamkwa kusumbuliwa na maradhi yoyote, automatically kita send a shock wave kwenda viral.

Baada ya kauli hii, sasa minongo yote kuhusu chanzo cha kifo imemalizwa rasmi.

RIP, Mhe. Rais Mstaafu, Benjamin William Mkapa.

Paskali

Wasaidizi wa Rais, Please Msaidieni Rais Wetu Kwenye Public . Msimuachie Kila Kitu Peke Yake!

Nami kama mwandishi wa habari kwa upande wa electronic media, kuna vitu vingine niliviona lakini nikamezea tu.

1] Lighting! Sijui walikuwa wanatumia karabai? Maana mwanga wake ni hafifu sana.

2] Shot nayo haikuwa nzuri. Ilipaswa iwe tight kidogo. Rais alipaswa kupigwa waist up. Na siyo kakaa kwenye kochi.
 
Back
Top Bottom