Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

Tangazo la kifo cha Benjamin Mkapa, Kurungenzi ya Mawasiliano Ikulu lawamani. Inahitaji kusaidiwa kumsaidia Rais - Jicho Letu Ndani ya Habari

hivi kwa nini yeye Rais asiwe ndiye wa kwanza kuwauliza kabla wanaojua jinsi ya kutangaza jambo kama hilo?

ukiwa kiongozi, matumizi ya common sense ni first and foremost.
Una uhakika gani hakuuliza? Je kama alichosema ndio alichoshauriwa unasemaje hapo? Kushindwa kijiuliza maswali kama haya pia ni ukosefu wa common sense.
 
Ikulu imechemsha, Watanzania tuna haki ya kujua chanzo Cha kifo, tangazo limekaa kizuzumagic sana

Hako kaugonjwa wanakokaita security issue katakuwa miezi ya karibuni kamewachanganya.

Ugonjwa ni ugonjwa tu wakuu.

Iwe malaria, typhoid, Cancer, nk zote zinauwa. Mgonjwa hufa kwa ugonjwa mmoja. Jina la ugonjwa husika hayupo mwenye kulipanga lakini mola peke yake.

Pumzika kwa amani jabali la muziki.
 
Kwa mitandao ya sasa, mida ya saa kumi na mbili asubuhi hiyo isingekua taarifa tena kwa umma maana nchi nzima saa saba au nane ingekua imeshajua! Labda hii ingekua tamko tu la rais ila sio taarifa!
Kuna mida codes tupa kule.
Ingewezekana kwan hospital kila nes anamuhudumia au kila dr maana kama kafariki ni kuwapiga stop wauguzi
 
Uzuri na yeye hupita humu atajifunza kitu! P ukipewa cheo kule ndani nadhani miezi 3 kuna jambo 2 tatokea. Utambadilisha na kubadilisha taratibu walizoamua kuacha iwe hivyo lakini sio protocol au atakuhamisha kujifanya mjuaji ....DC
 
Back
Top Bottom