"Condom inavipele vinavyo kuna vizuri, hivyo itakufanya kuongeza radha ya tendo" mixer brah brah nyingine kibaoAibu ya nini? Ni muda wa kukaa na watoto wenu na kuwapa elimu juu ya afya ya uzazi kama wewe baba au mama hutazungumza na mwanao, nani azungumze nae? Tv?
Hivi yule dkt Ndodi alifiaga wapi maana anakamba balaaMatangazo yamekuwa too graphic
Kuna hawa madkt wa tiba asili yaani ukiwa na mdada pembeni unaona aibu wewe
Dkt anadai anatibu magonjwa mbalimbali lakini ukisikiliza matangzo kila siku ni yeye na nyeti za watu tu humsikii akizungumzia kisukari, BP
Kwahiyo mzazi ukiwa na tv chumbani utakuwa hukai sebuleni? Au ukiwa sebuleni inazimwa? Na redio je, mbona matangazo ni hayohayo siku hizi?[emoji23][emoji23] ndio maana wazazi wengine hununua tv mbili nyengine anaweka chumbani kwake kuepuka Mambo kama hayo..